Salama mtani.....(nyie ndo watani zetu wa ukweli....sio chelsky,arse5-1(hawa hawajawahi kuwin champions ligi tangu wazaliwe.....cc
Wacha1))
Back to the topic...: Luis alitaka kuondoka ndugu yangu,sa sisi tungefanyaje....? Maisha lazima yaendelee...we wish him all the best there at BARCA......
Pengine kuondoka kwake kutawapa chance kina Raheem kushine,Markovic na wengineo......one thing for sure,mwaka huu tuna depth ya kikosi....sidhani kama tutamaliza nje ya top4......sidhani kabisa.....!
Wape Hi Manure wenzio.....na kesho mnachapwa tena na ka-QPR..........hahahahahahahahah...!
#RedOrDead #LFC #YNWA.....
Naenda kuangalia game ya Arse5 na City.....i will be supporting Arsenal Today(namchukia sana Samir Nasri,ana mdomo mchafu kama Diego Costa)....japokuwa droo itapendeza saana kwangu mimi........
Aione
agosti 8