Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

It's ok tumeshindwa lkn Pazi kichunguze kikosi bora cha Manshit leo walivyopata shida.
 



.......saaaafi sana, na huyu Blac kid wenu huwa anachonga sanaaa
 
Last edited by a moderator:
Msimu huu inaonekana Liverpool wataifanya Manchester United ionekane timu kali. Mechi 4 zilizochezwa mmeshafungwa 2, msipoangalia mambo yanaweza kuwaendea vibaya zaidi UCL ikianza j4 na j5..
 
Leo Kama Brendan Rogers kweli anataka nimpe heshima aipake timu kwa walivyocheza hasa Middle zote asiweke kisingizio hata kimoja yeye aipake timu wamesikie Kama yeye ndio Boss sio kuwalealea sio Chekechea hii Game gani ya kufungwa home? Timu ikichemsha nikuiponda sio kutetea ujinga.
 
Just bad day in rhe office... tutajitafakari zaidi... nadhani viungo walimezwa sana..

Bado team haijaelewana hata....
 
Team P Pts
1

412
2

49
3

47
4

47
5

47
6

37
7

36
8

46
9

45
10

45

[TD="class: team-name"] Chelsea FC [/TD]

[TD="class: team-name"] Swansea City AFC [/TD]

[TD="class: team-name"] Southampton FC [/TD]

[TD="class: team-name"] Manchester City FC [/TD]

[TD="class: team-name"] Tottenham Hotspur FC [/TD]

[TD="class: team-name"] Aston Villa FC [/TD]

[TD="class: team-name"] Liverpool FC [/TD]

[TD="class: team-name"] Arsenal FC [/TD]

[TD="class: team-name"] Everton FC [/TD]

[TD="class: team-name"] Leicester City FC [/TD]
 
wakuu,kiukweli tumefungwa,ila sijaumia hata chembe...matokeo haya niliyatarajia kbs,sijashtushwa,sijashangazwa! Maisha yanaendelea.
 
Kuna game mtu unafungwa na unaweza kutizama highlight ila sio hii ya Leo utumbo mtupu pale kati Kama Man U mtu anapata mpira badala kupasua Anarudi nyuma au SG akipata mpira analipiga kwa Nguvu juu ikija kudunda chini nje ya uwanja Yule Sakho akituliza kigugumizi kipa ndio sitaki kumuongelea hakuna hata tulichofanya Strikers hawawezi kumaliza Kama huwaletei mpira miguuni mwao Kama kutizama United ya Moyes au enzi za Hudgson, Rogers asipoisema timu a kaleta excuse asitegemee tutamtetea.
 

Kweli mkuu, kuna kipindi mechi ya leo ilinikumbusha Liverpool ya kina Sinama Pongolle. Huwezi kuamini hii ni timu iliyofukuzia ubingwa miezi mitano iliyopita. Rogers kaingiwa na nini? Anayekosekana msimu huu ni Suarez tu, wengine karibia wote wapo(ingawaje mna majeruhi, Sturridge) kwa nini asianze na kikosi cha msimu uliopita badala ya kuchezesha wengi walionunuliwa ambao wanahitaji muda kuzowea mpira wa Liverpool?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…