Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

siku hz naangalia game kwa wasiwasi(valuvalu) sana,dah!

Tayari kamesharudishwa! Ila hii penalty siyo aisee, mtu anakatwa nje ya box refa anapeleka kwenye tuta? Hii sharia sijaikubali! Any way tumepiga cha pili!
 
2-1 liver wamerudi kwenye uskani. Baada ya penalty ya utata na wba kusawazisha Heda anawapa live bao la pili.
 
Huyu Mzee anamwingiza Johnson? Kweli? Wacha tuone itakuwaje?!!
 
Double Sub- anatoka Lambert, anaingia Balotelli. Then anatoka Maquanh anaingia Johnson. Game imechangamka sasa. Wapi RRONDO
 
Last edited by a moderator:
Aisee, vikishika mpira napata pressure Mimi, sijui nizime TV? Kama hii mashine inaitwa Sessigno na ingine Berahinno!! Du ni hatari!!
 
Liver wanamiss Sturridge pale mbele. Balotelli ni mvivu. Dogo Stelling anahitaji mtu wa aina ya sturridge
 
Lambert ndiye kaifanya mechi hii iwe ngumu kwetu!Zile nafasi alizopoteza kipindi cha pili zilikuwa goli
 
Ushabiki wetu uko tofauti sana,mbaya zaidi unaweza coment kitu kwa wema watu wakaja juu hapa. Mim nasapoti huu mfumo asilimia zote ila tatizo ni aina ya wachezaji waliopo. Mtu km lallana,coutinho ni aina moja ya uchezaji,ss wakiwa wote ndani ni shida. Baloteli anakuwa isolated sawa,but akipata mipira anafanya nin?! We shud also look katika hilo.
 

Mkuu tumpe muda!League bado sana hii maana si unaona mwenyewe hapo kushinda tu game ya leo tumekuja hadi namba 6 kutoka 13?

BR sijajua kwa nn leo kamuanzisha Lambert!Kocha huyu leo angeanza Baloteli zile nafasi za RL angepiga bao
 
Last edited by a moderator:
on the Unspecified day of 2004, zinedine zinade "zizzou" was asked by Graham Hunter (Spanish journol) kinda of tough question, he asked zidane "who is your BEST player for now??"..Zizzou laughed, and answered "my BEST player right now is STEVEN GERRARD" then Hunter asked him "why SG of all the players?" Zizzou replied "Because he's a type of a player that plays in every position as instructed by his coach"

Hiyo kauli huwa inanikumbusha kuwa, SG on his LFC career has played in every position BAR namba 11, 9 and CB!!

Today BR, did one thing, he subbed PC and introduce Lucas, SG akapanda mbele kwenye Namba 10 dk ya 75..na haters wote wameona alichofanya mtu wa miaka 34, ilinikumbusha ile partenership ya SG na Torres (where SG played kwenye No.10)..thats our CAPTAIN!

i saw him kwenye post-match interview dhidi ya BASEL, aliongea kwa hisia sana!..Na today from that DM role mpka kuswitch kwenye Number. 10...he was among of our BEST player on the pitch (together with Lallana, hendo and PC)..

sjaona Anti-SG humu ndan wakimsifia hata kidogo..coz today he proved them wrong!

Apart from KENNY DAGLISH, SG is another MR. LIVERPOOL, the Legend!
 

we have a good manager and once again BR will prove you wrong

Rafa was a great coach but he is not a good manager, ndio maana he hasnt succeeded baada ya UCL ambayo kwa mlioangalia that season, tulikua scrappy tunakamliza number five and we scrapped to the destination

sometimes ni issues za moment, and Rafa was in a right place at a right time

I dont think rafa is needed at Liverpool, we need a young manager and BR fits the bill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…