we have a good manager and once again BR will prove you wrong
Rafa was a great coach but he is not a good manager, ndio maana he hasnt succeeded baada ya UCL ambayo kwa mlioangalia that season, tulikua scrappy tunakamliza number five and we scrapped to the destination
sometimes ni issues za moment, and Rafa was in a right place at a right time
I dont think rafa is needed at Liverpool, we need a young manager and BR fits the bill
we have a good manager and once again BR will prove you wrong
Rafa was a great coach but he is not a good manager, ndio maana he hasnt succeeded baada ya UCL ambayo kwa mlioangalia that season, tulikua scrappy tunakamliza number five and we scrapped to the destination
sometimes ni issues za moment, and Rafa was in a right place at a right time
I dont think rafa is needed at Liverpool, we need a young manager and BR fits the bill
Unajua watu wengine wanataka wafikirie na kuamua kwa niaba ya wengine...binafsi sina imani na BR kwa sasa labda huko mbele akija kubadilika,ntakuwa mshabiki wake! Wengine mnaweza kuwa washabiki wake,i will always have a true love to my team,LFC...not a manager,particularly,BR
So wewe ulitaka nani awe liverpool Manager...
BR is not a good Manager,Only time will tell..kuna siku ntakwambia hapa kwa nini huyu jamaa sio manager wa level ya LFC,bt unaweza kuamua kumuamini tu
Exactly. Nadhani wengi wa wanaomlaumu BR ni kutokana zaidi na frustrations za matokeo ya siku za hivi karibuni.
Those LFC fans who know (rather watched) how the Liverpool of old used to play and dominate opponents would have been more than excited with what they saw last season, thx to BR.
Give BR another 2 years, bankroll him with an Abramovich-esque wallet....you have a "Bayern Munich of EPL" that will wreak havoc across entire Europe!!
Jamhuri Kihwelu 'Julio'
Jaman muachen GERRARD hajawai kutokea na hatatokea mwingine kama yeye...he is my hero
sawa
ulikenua sana mwaka jana nashangaa leo unanuna... it ok!! ndivyo tulivyo... he is the only manager who submitted a strategic plan (with timelines) for the club, he outlines his plan in articulate way and he is following it, a young guy respected by every EPL manager, but because ya bad patch hata wewe usiyejua how hard it is to manage hata timu ya VPL unaongea... it is OK, wamarekani hawana ujinga angekua ambaya wasingemlea
He may be having his weaknesses especially his ego, but RB is worse, he is bad in PR and man management skills
He just got it right because Gerrard Houlier assembled a great squad, kuna post humuhumu on how rafa bought garbages
he is the only manager aliyelinganishwa na Shankly
it doesnt come that easy
respect
kumlinganisha BR na Shanky ni ukosefu mkubwa sana wa nidhamu kwa shankly,na aliyefanya kitendo hicho alaaniwe milele! This man has won nothing to us,hana trophy yeyote ktk managerial carrier yake!! Tutaanza kumlinganisha na Shanky atakapoleta atleast 2 UCL trophies,5 BPL trophies,FA and league cups! Afu kuna wapuuzi hapa watasema umri wake mdogo,hivi Diego Simione,Judgen Klopp wana umri gani?? Na hawanunui makombe kama akina Morinyo! Nataka kuona BR anafanya kazi field,tunapata matokeo uwanjani,basi! U cant criticize your own player(Balotelli,Dagger,Downing) kwenye media afu utegemee matokeo mazuri