Shukrani mkuu, tumefulia period!!! a good sportsman accept his shortfalls!!! Ila hayo ya viuno na vimavi sidhani kama yanasumbua, its about performance, liverpool have been under-par performing tangu preseason and wanasema unavuna ulichopanda
vipi lakini mwenge shooting umeanza mazoezi??? naskia english kkozi zinalipa sana mazee😀
Ha ha haa duh MTM umenikumbusha mbali, Mwenge shooting? hivi hawa ndio walikuwa wale akina Edi An-dalla?
Leo tena ni siku ngumu kwa rafa na vijana wake, bado hatujakata tamaa tunaisapoti liverpool ingawa hapa jamvini naona nimebaki peke yangu!!! prediction tunashinda very easily na ninaomba the scums watoe droo na arses ili japa zile maksi kati ya mtu wa kwanza na wa saba zisiwe tofauti sana!!!
Wako wapi the cops??
Tupo mzee, naamini tutashinda japokuwa everton wanazidi kupata comfo mda unavyozidi kwenda. Hili la Aquilani hata mi simuelewi Rafa.
Kidogo tumepumiwa leo..kila siku kutupandisha pressure.
Hayo ndio majaabu ya Rafa...kumnunuwa mchezaji kwa bei ghali then kumweka ubaoni na kisha pona tayari.....Sasa hivi anasema hapa kwenye interview ati mechi leo kali ni derby na Aquilani bado hawezi kucheza mechi kama hizi
Mybe so tutasubiri mpaka hapo atakapopewa green light na doctor kumchezesha.....
Vipi kuhusu Van Nilstroy atakuja anfield au keshakwisha yule? Unaonaje atatufaa?
Sasa na huyu naye si permanent member wa clinics? Yaani hebu angalia, Gerrard, Torres, Agger, Aquilani, Skertel, Riera, Yossi, Babel, sasa tunaongeza Ruud!!! Kweli itabidi wapanue wodi yao!!!
Halafu kuna mijitu mibovu na haiumii - Lucas, Carra Hawa ni kuwachapa vipapai tu
Sasa na huyu naye si permanent member wa clinics? Yaani hebu angalia, Gerrard, Torres, Agger, Aquilani, Skertel, Riera, Yossi, Babel, sasa tunaongeza Ruud!!! Kweli itabidi wapanue wodi yao!!!
Halafu kuna mijitu mibovu na haiumii - Lucas, Carra Hawa ni kuwachapa vipapai tu
Alafu unajua kuna wachezaji uwa siwasikii wakiumia ata siku moja wao kukosekana kwenye listi labda iwe kwa sababu ya kufungiwa.