Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

agosti 8!!
frankly speaking,based on your team's current perfomance,are you capable to conquor Madrid,Barca or Bayern even on your turf ?

Kweli mnanicheka kupoteza kwa Madrid?Are you serious?


Mlete Munich hapa kwa Chelsea uone Munich anavyopigwa...!

Mlete hapa R. Madrid uone anavyopigwa....!

Mlete hapa Fc Barcelona kwa Chelsea uone anavyopigwa...!

Sisi Ndio Chelsea timu ngumu na yenye uwezo peke yake kwa England....!

Msimu uliopita timu zote Za Uingereza zilitolewa ikabaki Chelsea peke Yake mpk nusu fainali.....!


BTW, Poleni sn rafiki zangu kwa kufungwa Jana... Lkn km mnakumbuka Vzr niliwambia LFC KUIFUNGA Madrid ni sawa na Mende KUANGUSHA kabati....! Khe Khe Khe Khe Khe yametimia....!

Cc: nguvu Baba Kelvin Gwamahala osokonoi Okhondima Asprin na loserfool woooooooooote.

Tarehe 8 next month nakuja kuwapiga hapo kwenu....!
 
Last edited by a moderator:

Ehehehe eti zilitolewa mkabaki hadi nusu fainali!What is this kwenye soka?Ukitolewa round ya kwanza na ukitolewa nusu fainali kote ni kutolewa tu!

Barca na Madrid ya mwaka jana sio hii,wameongeza watu wa mpira!Humfungi yyt hapo popote pale
 
Last edited by a moderator:
Ehehehe eti zilitolewa mkabaki hadi nusu fainali!What is this kwenye soka?Ukitolewa round ya kwanza na ukitolewa nusu fainali kote ni kutolewa tu!

Barca na Madrid ya mwaka jana sio hii,wameongeza watu wa mpira!Humfungi yyt hapo popote pale



Dua yangu kubwa ni kukutana Na timu yoyote ktk hizi tatu iwe round ya timu 16 au robo fainali..au nusu fainali...!

Mlete hapa Munich aiseeee

Mlete hapa Madrid uone tunavyompiga....!


Mlete hapa Barc uone Hao kina Messi na Neymar wanavyopotea......!
 

Hizo ni fantasy tu na deja vu zako!

Hao watatu wanakuchapa kote kote kiurahisi kabisa!

Una struggle kumfunga Palace ndiyo uingie Madrid?
 
Hizo ni fantasy tu na deja vu zako!

Hao watatu wanakuchapa kote kote kiurahisi kabisa!

Una struggle kumfunga Palace ndiyo uingie Madrid?

Yaaaaaah Nafikiri huu ukweli Ndio unakufanya useme hivyo:

Chelsea ni timu pekee msimu Huu kwa England Ambayo haijafungwa ktk mashindano yote mpk Sasa.....!
 
unafikiri kuifunga palace na kuifunga arsenal kipi rahisi? obviously ni kuifunga arsenal...teh au hujui kucheza na timu kubwa ni rahisi kuliko vitimu underdogs

umemjb vizuri sana isee nikipata hela nikinunua computer nitakupa like!" ......... kwanza mechi na palace ,chelsea walicontrol game ni vile chelsea waliridhika na yale magoli mawili hawakutaka kuongeza magoli wakawa wanapiga pasi tu, zilipgwa pasi billion8.

sijui mpira alisikiliza redioni.

Grand PA
 
Mwanzo wa ligi nilisema liverpool mwaka huu hamna chenu....huwezi kuuza ferrari ukanunua fiat mbili then utegemee perfomance ya ki-ferarri....pia nilisema baloteli hana rekodi nzuri ya ufungaji mabingwa wa statistics wakasema hajacheza mechi nyingi sana kwanini hachezi hawasemi, ni liability...sasa hivi naona kila mtu ashagundua baloteli ni liability na sio mfungaji anyway he is only 24 bakini nae tu atakua
 

MosDef, am pissed off as much as you are (probably more) by all this mediocrity ya timu yetu. So I fully understand your frustration. But let's not lose our reasoning...

Kitu kimoja ambacho watu wengi huwa tunakisahau ni kuwa kuwepo kwa pesa ya kununulia wachezaji is one thing while offering attractive perks (salary) to players is totally a different matter!

My friend, until the last decade, Chelsea and Man City have been shiite teams for ages but look at what happened the moment walivyokuja wenye hela zao na kufanya radical changes kwenye wage structure, etc, etc. Who would even dream of a certain Yaya Toure joining Man City after leaving Barca? And the list is long...

For example, during the last summer we had an opportunity to sign a Falcao or a Di Maria ambao am sure kama wangeambiwa wachague kwa kwenda at the same terms kati ya LFC na Manure, of course wangekuja kwetu for obvious reasons. See?

Wewe mwenyewe angalia kwa Sterling (arguably our best player at the moment). The guys don't want to offer a mere 100K quid to their best player, can you believe that? You know what am talking about, don't you?

Smacks of an unambitious, blind and stingy bunch of Americans (typical!!)

FSG have to change their mentality and start thinking big - last night it was men vs boys (it hurts but it is true - thanks to mediocre mentality of the American paymasters). Am telling you BR akiwa bankrolled na pesa kama ya Abramovich hakuna wa kumkamata Europe (I can see him being snatched up by the likes of RM or Barca in the next couple of years... mark my words here). The poor guy doesn't have the resources so he has to make-do with what is being offered on the plate. Period!

Me... am not going to change my mind about BR, why...because he's a great coach, a great coach who had only one world class player in the side last season but terrorised everybody in the league!
 
UNAONGEZA PUMBA MALAFYALE..

Lionel Messi mchezaji bora mara 4 wa dunia; hajawahi kuifunga CHELSEA.

WEWE huna timu; kama kweli LFC ni timu unaridhika kufunga half-time?

mchezaji wako BALOTELLI anagawa jezi mapema...ha haaa aa aha mkuu huna timu.

wachambuzi na wadau wa LFC wamesikitishwa sana na uwezo mdogo wa timu yenu.

REAL MADRID NA BARCA ni timu za kawaida;..woga wako tu.


Hizo ni fantasy tu na deja vu zako!

Hao watatu wanakuchapa kote kote kiurahisi kabisa!

Una struggle kumfunga Palace ndiyo uingie Madrid?
 
Chelsea fc.

Epl: Wwwwwdww
ucl: Dww
c.cup:w.







yaaaaaah nafikiri huu ukweli ndio unakufanya useme hivyo:

Chelsea ni timu pekee msimu huu kwa england ambayo haijafungwa ktk mashindano yote mpk sasa.....!
 
HULL CITY anakufunga..kama unabisha subiri jumamosi BALOTELLI.


Hapana mkuu!
Tukifungwa tunajikusanya tunajadili sio kukimbiana!BR angechezesha diamond kama alivyo fanya kipindi cha 2 tungepata point Anfield

Tukicheza kama kipindi cha pili Hull City Jumamosi namchapa 5
 
HULL CITY anakufunga..kama unabisha subiri jumamosi BALOTELLI.



Hii Nyumba Ina msiba mkubwa sn Leo....!

Kuna wengine wanamkumbuka sn Benitez....! Khe Khe Khe Khe Khe........!

You will never win again....... Khe Khe Khe Khe Khe Khe...!
 
Sasa tumfukuze kocha ama tulet mchezaji mwenye kiwango cha zaidi ya Suarez ama kinacholingana naye?
Ila timu yangu imekuwa kama tumbo la kuhara,pale utakaposema uj*mbe,kumbe ndio unajisaidia kabisaaa..

"Nlikuwepo":bolt:
 

Well said Mkuu!!

Lakin kwenye suala la wages hapo, nahis wa kumlaumu sana ni BR na Ayre...tunayo transfer commitee lakin BR na AYRE bado ndo wana SAUTI katika mambo ya USAJILI..

JOHN W. HENRY anachofanya sahiv ni kutoa support kubwa kwenye team now...kwa mfano kama umepitia ishu za mabilionea wa USA sahv kwenye forbes nadhan utaona jinsi jamaa alivyoshuka kwenye viwango vya pesa mwaka huu....lakin Sturridge juzi kasign new contract ambayo atakuwa analipwa 150k per week, asa kama ingekuwa ni down kwa FSG kudecide sidhan kama Henry angeruhusu jamaa alipwe 150k per week...

LFC imepata faida kubwa sana last season na ukiachana na hayo, ile ni brand kubwa sana, ina pesa nyingi sana, despite ya kutokuwepo kwenye UCL for about 4 years lakin hatukiporomoka kiuchumi kivile na hatukupoteza Wadhamini wakubwa...

Last season we were paying suarez 200k kwann tushindwe 180k kwa Di maria wakat mtu kama GJ analipwa 120k...ni BR ndo anazingua tu, now umesikia Valdes amepewa nafas ya kufanya mazoezi man utd..BR alikataa kabisa hicho kitu, asa hilo ni kosa la FSG ndugu yangu???

Katika Daglish Era walitoa 100+million na bado tukavurunda (season iliyofuatia wakaamua kuuchuna)..season hii wametoa zaid ya 115+million and what rodgers could do ni kusign Kina origi, Lambert, Lovren etc..

Huwez kuwalaum FSG kwa sasa!..
 
Sasa tumfukuze kocha ama tulet mchezaji mwenye kiwango cha zaidi ya Suarez ama kinacholingana naye?
Ila timu yangu imekuwa kama tumbo la kuhara,pale utakaposema uj*mbe,kumbe ndio unajisaidia kabisaaa..

"Nlikuwepo":bolt:



Hahahaaaaaa..........!


Bora umesema ukweli na umelijua Hilo..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…