wamepata cha kubwabwaja...
Yaaaaaah Nafikiri huu ukweli Ndio unakufanya useme hivyo:
Chelsea ni timu pekee msimu Huu kwa England Ambayo haijafungwa ktk mashindano yote mpk Sasa.....!
JAMANI BR KAWAJIBU TAYARI KWENYE #LiverpoolEcho ..AMESEMA LIVERPOOL HAI-HITAJI DEFENSIVE COAH
Wakuu,nimemsoma BR kwenye ECHO,kaongea pumba tupu,na ameendelea kuni disappoint,anasema eti LFC haihitaji Defence Coach,inachohitaji ni Training time kitu ambacho timu haikipati kwa sasa kwa sababu timu ina game nyingi sana! Huyo ndo BR wenu na EGO zake,sasa swali langu kwenu washabiki wa Rodgers badala ya LFC ni hili hapa,last season we had a single match a week,and we still coincided more than 50 goals,pia hawakupata training time?? Malafyale Janjaweed na Tisha-TOTO,nisaidieni kujijibu haka ka swali!
BR toka afukuzwe Reading alisema timu yyt anayokwenda HAWEZI kufanya kazi tena na DIRECTOR of football na any departmental head coach!Nafasi hizo zilimsumbua sana alipokuwa Reading!
BR anataka madaraka yote yawe juu yake tu na hapo kathibitisha haya!
Worry not next features na Hull City then na Newcastle tunawafunga easily na tutaanza kumpenda tena BR
CC MosDef
Ukishaona ameiongelea maana yake kuna pressure toka juu... atachukua one of the previous players, most likey Phil Thomson au Carra utashangaa anapiga kazi kama coaching staff but ndio itakua tayari hivyoWakuu,nimemsoma BR kwenye ECHO,kaongea pumba tupu,na ameendelea kuni disappoint,anasema eti LFC haihitaji Defence Coach,inachohitaji ni Training time kitu ambacho timu haikipati kwa sasa kwa sababu timu ina game nyingi sana! Huyo ndo BR wenu na EGO zake,sasa swali langu kwenu washabiki wa Rodgers badala ya LFC ni hili hapa,last season we had a single match a week,and we still coincided more than 50 goals,pia hawakupata training time?? Malafyale Janjaweed na Tisha-TOTO,nisaidieni kujijibu haka ka swali!
u r not serious man! sasa mlivyofika nusu kwanini hamkupitiliza hadi fainali? na kwanini hamkubeba kombe? ishu hapa sio kufika wapi ishu ni kuchukua ndoo mkuuMlete Munich hapa kwa Chelsea uone Munich anavyopigwa...!
Mlete hapa R. Madrid uone anavyopigwa....!
Mlete hapa Fc Barcelona kwa Chelsea uone anavyopigwa...!
Sisi Ndio Chelsea timu ngumu na yenye uwezo peke yake kwa England....!
Msimu uliopita timu zote Za Uingereza zilitolewa ikabaki Chelsea peke Yake mpk nusu fainali.....!
BTW, Poleni sn rafiki zangu kwa kufungwa Jana... Lkn km mnakumbuka Vzr niliwambia LFC KUIFUNGA Madrid ni sawa na Mende KUANGUSHA kabati....! Khe Khe Khe Khe Khe yametimia....!
Cc: nguvu Baba Kelvin Gwamahala osokonoi Okhondima Asprin na loserfool woooooooooote.
Tarehe 8 next month nakuja kuwapiga hapo kwenu....!
Bunley
Leiceister
Everton
Palace
Marlboro
Porto
Arsenal
Swansea
Kweli kuna team hapo ya kujivunia?
Wakuu,nimemsoma BR kwenye ECHO,kaongea pumba tupu,na ameendelea kuni disappoint,anasema eti LFC haihitaji Defence Coach,inachohitaji ni Training time kitu ambacho timu haikipati kwa sasa kwa sababu timu ina game nyingi sana! Huyo ndo BR wenu na EGO zake,sasa swali langu kwenu washabiki wa Rodgers badala ya LFC ni hili hapa,last season we had a single match a week,and we still coincided more than 50 goals,pia hawakupata training time?? Malafyale Janjaweed na Tisha-TOTO,nisaidieni kujijibu haka ka swali!
BR toka afukuzwe Reading alisema timu yyt anayokwenda HAWEZI kufanya kazi tena na DIRECTOR of football na any departmental head coach!Nafasi hizo zilimsumbua sana alipokuwa Reading!
BR anataka madaraka yote yawe juu yake tu na hapo kathibitisha haya!
Worry not next features na Hull City then na Newcastle tunawafunga easily na tutaanza kumpenda tena BR
CC MosDef
BIB theory ya kwenye training leo, inaonyesha watakaoAnza kesho ni;
Mignolet
Manquillo
Lovren
Skritel
Moreno
SG
Allen
Emre Can
Lalllana
Sterling
Balloteli
(walivaa ORANGE bibs)
PC, GJ, Hendo, Marcovic, Borini, Lambert,etc (hawakuwa katika ORANGE bibs)
Hivi Sakho kaumia au bado matatizo yake na BR hayajawa solved?Huyu Lovren has to be benched anatuumiza sana kwa kweli!!
Hendo aanzie nje na Hull City wanaokimbiza sana?This is more than a joke kama kweli