Tumeshinda ila daaahh bado tunahitaji striker wa uhakika siyo borini japo amecheza vizuri na Rickie
Kwa upande wangu mimi jana kuna wachezaji walicheza vizuri sana......mfano:-
1: FB (rating 8.5)
Aise jana kapigana dogo......nacho omba Mungu.....BR aendelee kumpanga ata akianzia benchi poa ili mradi acheze walau dk 30 za mwisho....the guy can change the game.
2:Contihno ( Rating 7.5)
Kijana jana kacheza sana....sasa hivi ni roho ya liverpool....hua sioni kwanini BR hua anamsub dk ya 65 - 70? kijana ana control ya kufa mtu.....mwepesi na ana jaribu kushot pindi anapo pata nafasi.....Jana Lambert kamuangusha sana.
3: Henderson (rating 7.5)
Jamaa anakila sababu ya kua vice captain......sasa hivi amekomaa jana kama kawaida yake alimiliki dimba la kati vizuri sana.
4:Toure (Rating 7.0)
Jana kanipigia kazi ya kufa mtu.....amenikumbusha toure yule wa mwaka 2006 pale highburry......kacheza sana.
5: GJ (rating 7.0 )
Jana GJ alikua anapanda na kushuka....hakua mvivu kama siku zote na alipiga shuti moja nilijua ni goli.....jana alisuuza roho yangu.
6: Jones (rating 6.5)
Alikua imara golini alifanya great saves kama mbili za hatari sana.....kiujumla alifanya makosa machache sana.akiendelea kupewa nafasi ataimalika na tutamsahau reina.
7: Maq (rating 6.5)
Dogo ni mzuri jamani.ni fighter mzuri.alicheza vizuri sana.
8: Mario 45 (rating 6.5)
jana kaonesha kua yeye ni striker na anaweza kubadili matokeo ya game muda wowote.....LFC fans we need to support the guy....in whetever way.....bolo45 na borini wanaelewana sana.
9: Markovic (rating 3.5)
Hii kwangu ni takataka kabisa......sioni anachofanya uwanjani....infact he needs to step up his game iliaendane na kiwango cha hela alichonunuliwa.
10: RL (rating 3.5)
naye jana hakuonesha makali yeyeto.....ataendelea kusugua benchi DS atakaporudi uwanjani.ila jana alitoa pasi kama 3 zenye akili....but he still can fit in liverpool squard.
11: Lovren
Sitomzungumzia.....maana sikumuangalia kwa jicho la tatu.....nilimuona anafunga goli tu.
Maoni yangu Binafsi kwa BR
its time BR should stop appeasing or mollifying SG8. one thing very apparent from yesterday game is that the team has a lot of more vibrancy & flow to the game without Stevie G.
YNWA