Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada ya kusemwa sana hatimaye jana amefanya kitu......BTW hongereni sana kwa ushindi wa jana.

Vipi Jumapili tukae hapa bwalo la maafisa Oysterbay nione unavyo umia Yaya Toure na Aguero wakitupia?

PM me kama ni possible
 

Mkuu Torres, utakuwa hujamtendea haki Lucas Leiva kwa kazi aliyoifanya jana ya ku-protect back huku akiwa anawapa nafasi tofauti na SG ambaye anashuka sana deep ambapo back 4 wanakosa room ya kutosa. Ujue midfield yetu inaonekana nyanya kwa sababu SG siyo dirty player kwenye kwenye defensive midfield niliwahi kusema hapa we need to deploy Leiva ahead of Gerrard yaliyo nikuta nikawa mpole tu

Kwenye mechi na West Brom, kipindi cha pili alipoingia Lucas na SG akapanda mbele mliona nini cha tofauti pale SG anapokuwa kwenye defensive role? Kile ndo kitu ambacho nilikuwa wish BR afanye the Countinho apewe free role iwe anatokea popote katikati kushoto au kulia ataweza ku-create more chances na ku-score

Jana timu ilicheza vizuri ila tuna hitaji consistence performance
 
Pamoja na performance iliyoonesha na kikosi cha jana, ingawa asilimia kubwa kilikuwa kikosi B, nina uhakika game ijayo Super coach BR atakivuruga tena kama kawaida yake ya kupenda kujaribu. Formation atabadili tena, PC ataanzia bench, Raheem atarudi kikosini, LL atarudi tena bench, SG atachukua namba yake, Borini atarudi alipotoka, Manq au CJ mmoja atatokea bench, Moreno atarudi kikosini.
 

Mak89 uko sahihi kabisa nilikia nimemsahau Lucas lakini akilini mwangu alikuwepo jana alicheza vizuri sana.....na anaijua kucheza nafasi yake ya defencive role vibaya mno.......
 

Mkuu MosDef, we need MB to be involved more into the box, na siyo kila sehemu apige mashuti na aache kujifanya nyanya kama jana ile headbutt na Jonjo wakati yeye yupo chini tulikuwa tuna-attack wakashindwa kutoa krosi kwa sababu MB alikuwa chini. Leo english media zimem-praise ila akivurunda tu wane


Jana nimefurahishwa na performance Lucas unsung hero, ila mi nashindwa kuelewa kwanini mashabiki wa liverpool wanam-underrate Lucas kama watakumbuka vizuri mascherano kuondoka lucas amefanya kazi kubwa ya kui-shield back 4 mpaka alipoumia akakaa nje msimu mzima na ndiyo msimu tulikuwa wa 7. Statistically Lucas na Carrick ndo walikuwa na tackling nyingi Epl ila bado watu hawataki kuliona hilo.


Hizi signings za Rogers na rumours nazo sikia daah we have a long way to go to perfection, Lazzevi sidhani kama atakuja na kitu cha kuadd kwenye timu yetu, kulikuwa na rumours kuwa alikuwa anamtaka anadhani angekuwa wise choice than markovic ni yule dogo mbrazil hannover fermino, kwenye attacking line yetu jackson martinez wa porto atatufaa sana, kama anasubiri striker awekwe sokoni atangoja sana.

BR should bring back Ibe na illori
 
Last edited by a moderator:

Nimecheka balaa, BR ni arrogant watu wamempigia sana kelele kuhusu hiyo 4-2-3-1 ila alikuwa bado hasikii mpaka mechi na west brow kipindi cha pili mwishoni naona ndo kapata akili, kama unakumbuka huo mfumo hata Sturridge ana struggle alikuwa anautumia mwanzoni mwa msimu uliyopita kabla ya Suarez kurudi je kuna mechi hata moja ya ligi tulishinda zaidi ya goli 1???? Hiyo formation alikuwa anaiweza Suarez tu maana alikuwa na akili ya ziada ya kutafuta ushindi hata kwa kushikisha mabeki kwenye box

Kuna siku nilisema hapa BR anapenda sana experiment kikosi cha jana kitakuwa tofauti sana cha jumamosi na Newcastle watatuonyesha cha moto
 

Kitu kingine nilichokiona jana wachezaji wenzake wanamkatisha sana tamaa Coutinho, hadi akatoa somo kwa Rickie. PC anawapa pasi za mwisho nzuri sana zile za kutanguliza kwenye njia ila wanaopewa sasa wanasubiri mpira uwakute au awapelekee mpira walipo. Mipira mingi sana imepotea toka kwa PC kwa mtindo huo hadi akawa analalamika kwa kumuoneshea Rickie "ungepita hapo". Kwa kikosi chetu hiki mtu ambaye ataweza kuchezeshwa nae ni Sturridge tu hawa wengine sidhani labda kidogo Borini.
 

uyo dogo markovic nikama Aspas tu...hana impact yoyote japo wadau wanasema bado mdogo but kwa dogo kama yeye ndo muda wa kushine asisubil miaka 27...
 

Yeah, nafasi alizotengeneza PC ni nyingi ila tatizo ni forwand zetu hazi-anticipate movement ndo maana wanataka mipira hiwafate walipo kitu ambacho kimekuwa kigumu.
 

Lucas wakat anakuja kutoka Gremio alianza vibaya sana, coz EPL ilikuwa mpya sana kwake..but baadae akaja kuimprove na nakumbuku wakat yupo kwenye peek, alikuwa ni one of the best DM kwenye EPL, but baade majeruhi yakaja kumuharibu sana..akarudi kuwa Lucas wa mara ya kwanza...Under Benitez na Daglish, LL alikuwa ndo DM na SG alikuwa kwenye free role au number 10..

Lakin under BR, akawa anforce LL acheze sambamba na SG katikat, ambapo LL alikuwa anacheza kiungo cha pemben..kitu ni kigumu kwa Lucas..yule ni typical DM, ni kama Gustavo, Reges, Etc..ukimtoa kwenye DM lazima apotee...

But sahiv tuna Emre Can, so nadhan nafas ya LL inazid kuwa finyu kwenye kikosi..coz sahiv BR atakuwa anaenda na SG, JH na Emre Can..the reason kwann Hull city hawakuisumbua beki ya LFC weekend ilyopta ni kwasababu Emre Can alikizima kiungo chote cha Hull city, Diame na huddleston hawakufanya lolote..na ndo maana SG akapata nafas ya kuwa anapanda sana mbele...

Emre Can anatakiwa aanze dhidi ya Newcastle, ameshaanza kuizoea league..

BUT sioni BR akimprefer PC over RS..lazima Atamuanzisha RS tu...
 

Sidhani kama atafanya hivyo RS atarudi na kuchukua na ya Markovic kwenye wing na gerrard atarudi kwa Lucas then we are doomed, Nina wish kama PC angepewa free role kwenye attacking midfield na SG apandishwe mbele Lucas abaki kama defensive then Emre Can awe patner wa Lucas
 

SG akikaa benchi acheze Lukas Liverpool itashuka daraja!Acheni kumu under rate SG bila yy hii Liverpool itayumba mno!

Carling Cup sio sawa na EPL na naelewa mnapo kwazika sababu ya role yake SG inakandamizwa na uamuzi wa kocha wetu!SG awe free role mbele kama kipindi cha pili na Hull anafanya sana bado mambo!

Kumuweka benchi SG Liverpool hii hainiingii akilini!
 

What about Hendo??
 
Draw ya leo ya Capital one kwenye quoter finals naona kabisa tutapangwa na Chelsea..(away OR home)..

Lets wait and See!!!
 

Kama umenifuatilia hakuna sehemu nimesema SG akae bench ila arudishwe kwenye position yake attacking midfield na defensive apewe Lucas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…