Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ni mchezaji wa kawaidaHow can you watch this performance, and u-conclude kuwa Nunez was not good against Brighton?
View: https://twitter.com/_wingplay/status/1711396968449400889?s=19
Ni mchezaji wa kawaida
Siyo mechi hiyo tu!
Hata nyingine.
Aisee kweli KDB ana mchango mkubwa sana kwenye magoli ya HalandThis is an example of how Haaland is missing presence ya KDB.
At Liverpool, we have Szobo, but he's playing very deep, (we all know why), but Szobo angekuwa anacheza hii role ya KDB, then Nunez angenufaika kama Haaland.
Watch Haaland kwenye hii clip, and watch Nunez pia, movements zao ni the same, uwezo wao wa kuji-position ni very identical, its just that, mmoja anapata chances za kutosha na anacheza na the best midfielder in the league, na mwingine anacheza kwenye very limited circumstances (we are moving in the right direction lakini).
View: https://twitter.com/KDBZone_/status/1711416473233530893?s=19
Ni wachezaji wawili tofauti kiasi fulani japo mmoja kazi yake ni kufunga zaidi kuliko kuchezesha wengine... Mfumo wa Klopp unambana wakati mwingine Captain Chaos ila na yeye amekua na kosa kosa nyingi sana lakini ndio mpira hata huyo mkali wao Halland ana gemu ya nne sasa hajatupia....Captain Marvelous anaamini Nunez atakuwa zaidi ya Salah
Kaka wa Nuniez umefikaππNi wachezaji wawili tofauti kiasi fulani japo mmoja kazi yake ni kufunga zaidi kuliko kuchezesha wengine... Mfumo wa Klopp unambana wakati mwingine Captain Chaos ila na yeye amekua na kosa kosa nyingi sana lakini ndio mpira hata huyo mkali wao Halland ana gemu ya nne sasa hajatupia....
YNWA
Jini limepoteana.π€£This is an example of how Haaland is missing presence ya KDB.
At Liverpool, we have Szobo, but he's playing very deep, (we all know why), but Szobo angekuwa anacheza hii role ya KDB, then Nunez angenufaika kama Haaland.
Watch Haaland kwenye hii clip, and watch Nunez pia, movements zao ni the same, uwezo wao wa kuji-position ni very identical, its just that, mmoja anapata chances za kutosha na anacheza na the best midfielder in the league, na mwingine anacheza kwenye very limited circumstances (we are moving in the right direction lakini).
View: https://twitter.com/KDBZone_/status/1711416473233530893?s=19
Mchango wake unaonekanaHow many STs can offer you, alichokuwa anaki-offer kwenye hiyo clip?
Ametengeza goals zote mbili, Big chance aliyo-miss Grav, katengeneza yeye.
His hold-up play from the half-spaces ilikuwa inasaidia sana ku-sustain press ya Brighton, his pace & passing lanes, zilikuwa zinasaidia sana ku-switch up plays na ku-move out from Brighton's countering traps, kwenye hiyo clip umeona ni jinsi gani his movements (off & on ball), zilivyokuwa zinawapa tabu defenders, the way he interchanging with Salah at RW, the way he receives mipira at LW, etc, he was everywhere.
Haaland had no creators at Arsenal, alikuwa ana-cover uwanja (Central, LW, RW) kutafuta mipira kama Nunez kwenye hiyo clip?
Kama hauoni mchango wa Nunez kupitia hiyo clip, then utakuwa upo blinded na hatred.
Madam EPL Nunez amecheza Matchs 7 na ana goli 3 na assist 2 msimu huu, Jota pia kacheza match 7 na ana goli 2 na hana assist hata moja, why useme JOTA bora kuliko Nunez? Wewe sema unachukia tattoos, angalia ufundi wake achana na mwili wake πMchango wake unaonekana
Shida yake huwa ni kumalizia.
Akija kuwa sharp kufunga kama jota basi atakuwa mchezaji mzuri.
Ile kadi ya Jota ya Red walimbambikia.Madam EPL Nunez amecheza Matchs 7 na ana goli 3 na assist 2 msimu huu, Jota pia kacheza match 7 na ana goli 2 na hana assist hata moja, why useme JOTA bora kuliko Nunez? Wewe sema unachukia tattoos, angalia ufundi wake achana na mwili wake π
Kwa kuongezea, NYUNYEZI huyuhuyu ana kadi moja tu ya njano while JOTA ana kadi 2 za njano na Red 1
π π π π π Bhana ebu relax lets the boy sort his accuracy.... Off the ball he is up to speed.Kaka wa Nuniez umefikaππ
Msemaji wake umefikaππππ π π π π Bhana ebu relax lets the boy sort his accuracy.... Off the ball he is up to speed.
YNWA
Msemaji wake umefikaπππ
Yeye acheze tu
leo wa kutuombea dua njema weweNawaombea livapuli musimu huu muwe mabingwa πππ
Huyo kaandika hivyo kwenye majukwaa yote isipokua jukwaa lao tuleo wa kutuombea dua njema wewe
Asa Klopp wako hampingi bhana mpaka waumie wengine... Consistency itakuja akicheza mara kwa mara hata Halland asipofunga mbona hawekwi benchi... Muachane dogo amilikishwe namba n th rest will be history...Msemaji wake umefikaπππ
Yeye acheze tu
π π π π π π π Khaa kwa hio ubataka pale kwa Nunez awe anacheza nani ambae ana consistency zaidi yake maana japo sijaangalia convertion rate kati yake ba Jota but am kind seeing same outcome vs minutes played...Chances anazopoteza ni nyingi kuliko
bao anazofunga.
Tena chance za wazi kabisa.
Sawa bwana Kaka Nuniez [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Khaa kwa hio ubataka pale kwa Nunez awe anacheza nani ambae ana consistency zaidi yake maana japo sijaangalia convertion rate kati yake ba Jota but am kind seeing same outcome vs minutes played...
Punguza hasira kwa huyu dogo utapata presha bure aafu yeye ame relax anajua magoli yanakuja..
YNWA