Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Huyu kaka nikimkosa mbinguni nitaandamana.Sadio Mane amenunua timu ya daraja la nne huko Ufaransa. Mane ni mwekezaji na hii ni plan ya kusaidia vijana wengi kimaisha kupitia mpira.
Best of luck Sadio. Please don copy and paste FSGβs policies.
Kwa kweli mimi binafsi kwenye penalt nilikuwa namwamini Fabinho na Milner .Kabisa Millie alijua kuzinyonga penalty. Vvd is good too kwenye penalties sema kwenye mpira CBs kuwa accurate kwenye penalty mtihani.
Kuna jamaa wa kuitwa Leighton Baines wa Everton beki yao ya kushoto alikuwa anafumua penalty kweli kweli. Penalty 25 kapachika 22.
Yale mabilioni ya Saudia yanatishia amani hata Klopp anajua ni muda tu Salah atasema Yes bring the money...Naona Liverpool wanatafuta mbadala wa Salah huko.
Ni kweli Khavicha bei yake inasisimua lakini kwa mishe zake na rekodi yake ya majeruhi ni worth investing na chini ya Klopp atakua next level yule dogo.Mi nilikuwa nafikiria hvyo kwasababu hela yake ni ndogo, ila tukimpata huyo jamaa itakuwa poa sana sasa sijui kama FSG wataitoa hela ya huyo Khavicha maana ninahisi yupo ghali sana sokoni
Dogo kaniacha mdomo wazi actually ningekua napiga kura atue Liverpool kipindi yupo Dortmund ningepiga BIG NO maana haya ya Sancho yalikua yananiogopesha sana lakini dogo kila kukicha anachaja mbuga...Huyu Jude Bellingham ni hatari aisee
π π π Wewe leo wa kumsfia babu Milner haha kweli ipo siku utamsifia Captain Chaos.Vvd na penalty wapi na wapiπ€£
Wenye nazo akina Fabinho na Milner wameshaondoka
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Milner ni mzuri kwenye penalt
Bila ramli hakuna wa kumtoa Manchester City pale kileleni come May haha huyu ni apigwe tu...Mambo ya ramli siyataki tena
Yaani tunaanza gambling,eti Fulani apoteze,tuanze kuwatuma sijui nani wakawafunge City πππ
Tuwe tu wakweliπ π π Wewe leo wa kumsfia babu Milner haha kweli ipo siku utamsifia Captain Chaos.
YNWA
Ni mzuri kwenye penati ujue sio promo za bureπππππTuwe tu wakweli
Mechi ilikuwa ikionyesha dalili za penalt Babu anaingizwa kutoka benchi.
Kiukweli Kwa wachezaji tuliobaki nao, simuamini hata mmoja kwenye penalty.. ukizingatia Allison kwenye kudaka penalt ni mweupe.
Jamani Bobby
Huyo mdogo wako Nuniez unampromote mnoππ€£
Tayari wamepatikana"[emoji599] Liverpool star Luis DΓaz parents have been kidnapped today in Colombia, per @VickyDavilaH reports.
Tje case happened in the recent hours in Barrancas, La Guajira.
The police is reportedly taking care of the case as they are working to bring Luis parents back asap"
Fabrizo Romano