Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hi channel ya Whatsapp ya Liverpool ni wabaguzi.


Wamempost Salah na Diaz tu.


Sijamuona Nunez,,
Ama taarifa bado wanaiandaa?
Sema Salah aliyamimina aiseeeπŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯
Salah ni mwamba sana.


Kweli mpira unaunganisha Dunia,
Ona watu wa mataifa tofauti wanakutana.

Kumbe Jota Mreno
 
Liverpool ni familia, ni upendo ni mshikamano, ni klabu bora kabisa ... Wazazi wa Diaz wametua jana Liverpool kusherekea kwa pamoja Xmas...

Liverpool have flown the parents and wider family of Luis Diaz to the city so they can spend Christmas together

We care for our own...

😍 😍 😍 😍 This club

YNWA
 



Up πŸ‘† Trent heat map vs Malta.

Mnasema aje Klopp ampe dogo anachokitaka.
Mkumbuke huyu chalii alianza kukipiga MF kabla ya i guess Gerrard na academy guys kumpa dakika zaidi RB of which kwa sasa he can't stop us kushambuliwa probably sasa Klopp should swallow the pill n follow Southgate way.

YNWA
 
Hivi Diaz mjomba ake kama alimuoa mpwa wetuπŸ˜†
Sina undugh na Diaz hivi? 🀣
Na mimi nikale mema ya nchi.


Def anitafutie kibarua hata cha kufua socks za kina Trent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…