Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goli la tatu na la nne umeona kazi ya Nunez.. Ni kwel inapofika swala la yeye kufunga anapata sana wenge lakin his involvement pale front is next level..

Salute kwa Endo na Trent

YNWA
 
Martin Zubimendi is the perfect candidate... Kuna muda niliona rumours zinasema Partey pale Gunners wakumuuza wanatua mazima kwa huyu dogo.

Ngoja tuone Klopp na FSG watatuletea habari zipi January na kama tutaedelea kuna pale juu itakua suicidal kutonunua DM.

Thuram naona rumour mills haziachi kutaja jina lake kuja Liverpool...

YNWA
 
Jones anatakiwa ku-limit/control his extra touch trait.

He has no pace, but anaweza ku-cover hiyo weakness na one-touch & pass football.
Jones bhana hua sielewi kama zile dakika anazopewa zina mwisho nwa probably kwa kua ni home grown anajiona ana tiketi hio ya kua stagnant na ategemee tu kuendelea kua kwenye mix...

Once we get a proper DM i rarely see how he will get the minutes EPL.. Minutes should go hand in hand na super performance lakin sio kwa huyu kido...

YNWA
 
Trent the Great😂


Heri umepunguza mahaba kwa Mdogo wako😆
Mwaka unaisha anakosaga tu
 
Kwahiyo mkataba wake haiwezekani ukakatishwa?
Afadhali yupo,,mi nakakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…