Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpira jana umemfanyia ukatili City.

Yani First half tu amekosa nafasi 3 za wazi kabisa achilia mbali 2nd Half halafu kaishia sare.
 
He got dribbled (past) SEVEN (7) times kwenye game ya City.

A record kwenye msimu huu mpaka sasa.

Well, he scored a goal.

So, muda wa narratives.
Naam shekhe

Jamaa ni true definition ya asset na liability
 
Dakika ya 53
Mdogo wake Bobby,kama kawaida ndugu zangu [emoji23],kakosa tena goli la wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Bobby tufanye maombi,huyu mtoto siyo bure[emoji23][emoji23][emoji23]amechezewa
 
Salah anampa assist Nunez
Nunez huyoo anagongesha mwamba

Watu tupo kimya



Haya sasa,Salah akiamua afunge tu mwenyewe
Akipata tutasema Salah mwamba
Akikosa sasa,utasikia Salah mbinafsi.
 
Nunez katusukia twende kilioni mbili kichwa [emoji23][emoji23][emoji91]
Ila ana unywele, anigawie na Mimi Dada yake


Hivi MosDef si aniunge hata kazi ya kuwasuka hawa nywele
 
Aliyekuwa anamsifia Kelleher sasa ameona utafauti wa Allison na Kelleher.
Kwahiyo mnaona goli alizofungwa tu!
Vipi saves alizofanya?
Kuna possiblity pia saves za Kelleher angekuwa Allison angekosa



Kuna magoli Allison anafungwa ,ukiangalia angekuwa Kaleher angeokoa


Goli kama lile la 3 dakika ya 80 hata angekuwa Allison angekosa.
Utamlaumu vipi Kelleher pale?
 
Good morning [emoji274] from this side
Trent,Our sunshine [emoji91]
Beki anayefunga
Goli ngumu
Za ushindi

Utasikia eti auzwe!
Apangwe anapoweza kucheza aendelee kutupa burudani

Trent for life [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nyota yake haikui
Ona mwenzie Trent anavyouwasha moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…