Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


He has improved kwa kweli, he has improved a lot.

Sema kuna baadhi ya vitu anakuwa mgumu sana kuviacha.

Headache, ni kuwa he complements Szobo & Macca vizuri kuliko Grav, for now.

our best MF dynamics (with Baj & Thiago out) ni;

Szobo-Macca-Jones

Elliott-Macca-Grav

Kwa kile nilicho-gather, kwa muda mfupi, naona, Grav na Szobo bado hawana strong dynamics and combinations.

Its coachable lakini.
 
Kwenye football world, kuna a lot of terms and words, ambazo they can be used kwa players ambao wanakuwa siyo kivutio kwa fans, its not a new issue, ipo kila mahali.

kuna aina za terms:

Not rating a player
Having an agenda against a player
Disliking a player
Hating a player.

As a football fan, huwa napenda sana kubaki kwenye hizo 2 terms za juu (not rating a player & having an agenda against a player). see, not rating a player is acceptable, because ni suala la opinions, fans huwa tunatofautiana tastes and how we want certain players kucheza, hence kuna fans duniani, hawam-rate Messi, or Ronaldo, unaweza kuona kama ni weird, but its just football, mfano kuna LFC fans, hawam-rate Salah, or Alisson, or VVD, its football.

Na, having an agenda, ni kuwa na blind-eye, kutoona kizuri chochote anachofanya mchezaji, mfano in modern football, kuna LFC fans wamekuwa na agenda against mid and world class players, i know fans ambao walikuwa na agendas na Mane, Gini, Fabinho etc.

Mimi, sifichi, katika modern LFC, I have never rated a lot of players, A LOT, but wali-overstay ni Lovren & Mignolet, na i have had consistent agenda against Henderson for years.

See, kuna tofauti hapo, i RATED henderson, but i was never conviced he was good enough to be a LFC captain, that was my only problem with Henderson, but kwa Lovern & Mignolet, sahau kuhusu agenda, nilikuwa naona hawafai kabisa kuwa LFC.

And, kwa agenda niliyokuwa nayo kuhusu Henderson, nilipigana vita vingi sana humu, but that didnt make me kumchukia au kutompenda, for WHAT? hating a millionaire? si ni ujinga?

But, siku tuliposhinda PL & CL, sikuona tabu kumpongeza na kumpa his flowers, because even though nilikuwa na agenda kubwa nae, but niliona kazi yake, na unajua ukiwa na agenda na mchezaji, inavyokuwa ngumu ku-change your opinions? because unawaza, sasa wapinzani watanionaje? (na hao wapinzani ni LFC fans wenzako), lakini, at the end i had to SALUTE Henderson, he kinda proved me wrong, ule msimu tuliobeba PL, and i had to give it up, imagine, after what? 6-7 years? but ukimya wangu uli-last short, maana alirudi kuwa m-bovu tena, (so nilishinda vita in the end, hahahaha).

But, not rating a player, having an agenda, ni tofauti na hate & disliking a player, hivi vitu viwili vya mwisho haviwezi kukuletea chochote mezani, nilijifunza hiki kitu a long time ago, kumchukia mtu anayeingiza billions of money kwa week? na anakuwepo at your club for 2-5 years max na kuondoka zake? unapata nini?

Na, players huwa hawachagui ku-flop, ni mazingira na pressure, sometimes ndiyo husababisha, players wengi wana-flop kwenye big clubs kwasababu ya mzigo wa expectations, na management, isipofanya kazi ya ziada, mchezaji anapotea.

Under Klopp, bila kufanya kazi ya ziada kwa Fabinho, alikuwa ana-flop Fabinho, na japokuwa alimkuta, Klopp bila kufanya kazi ya ziada, Firmino alikiwa ana-flop pale LFC., BUT hadithi zao zimeishia kuwa tofauti kwasababu walipewa muda na kuvumiliwa, na huwezi kumlaumu Klopp for Keita, he tried, Keita aliangushwa tu na majeruhi.

Now, tuna a very young team, yes we bought Nunez for a huge amount, but wote tulikuwa tunajua kuwa bado alikuwa ni very raw.

Nunez, kaingia Europe, (Benfica), akiwa na miaka 21, miaka yake yote ya mpaka anafika 21, alikuwa anacheza Uruguay, and after TWO seasons at Benfica, tukamnunua, yes msimu wake wa mwisho at Benfica ulikuwa m-zuri, but msimu huu mzuri ulikuja baada ya msimu m-baya wa kwanza at Benfica, so tulimnunua bado akiwa ana-find his feet and balance kwenye mpira wa ulaya, sasa umemtoa, Benfica at a young age, na ukamleta LIVERPOOL, one of the BIGGEST clubs in the world, kwa huge fee, with big expectations, inamaanisha nini? ina maana unakubali kuwa unaenda kumfungulia milango ya kuanza upya, unakubali kuwa unanunua asset, Klopp, the best attacking coach in the world, hakuwa mjinga kuwekeza hela yote ile kwa Nunez.

Steps za Haaland kufika City, ni tofauti na za Nunez kufika LFC, huwezi kufananisha their growth, Haaland grew up in Europe football, hakuwahi hata siku moja kucheza mpira, peku kwenye mawe, hakuwahi kulala njaa, hakuwahi kushindia maji, etc, ni mtoto wa kishua, from norway, to Austria, to German, to England, a smooth path.

We bought Firmino, tayari akiwa na misimu ya kustosha Ulaya (German).

We bought Mane, tayari akiwa na misimu ya kutosha ulaya, Austria, then he established himself in the PL akiwa na Southampton.

We bought Salah, tayari akiwa na misimu ya kutosha ulaya (FC Basel, then Chelsea kidogo, Fiorentina & Roma).

We bought Jota, akiwa na misimu ya kutosha PL (Wolves).

We bought Diaz akiwa na misimu ya kutosha Europe (FC porto).

Same kwa Gakpo ambaye amekulia kwenye good football conditions.

Ni tofauti kwa Nunez, and its fine.

He's trying a lot.

I gave Henderon 2 seasons.

I gave Lovren THREE seasons.

I gave Lallana, 2 Seasons.

I gave Mignolet 2 seasons.

etc.

You need to give these players time, kabla ya ku-throw ratings and agenda biasness. hiyo ni basic knowledge ya mpira.

And, hating or dislking a player, hakutakuongezea na wala kukupunguzia kitu in your life.
 
Nini Kaka? 😀

For the past few months i declared my "smooth" agenda on Trent.

See, you know me, nimekuwa na tatizo kidogo na suala la uzuiaji la Trent, for years, but sikulibeba sana, because he was good kwenye mengine anayoyafanya.

But, when he became a VICE-CAPTAIN, thats when, nikaanza ku-highlight more his weaknesses, because "With Captaincy, comes great responsiblities", so ni alama ya team now, team ikicheza vibaya, ni lazima abebe wajibu kama mmoja wa viongozi, so baada ya kupewa u-captain, ilikuwa ni high-time, a-improve his defending game, because having your Vice-captain getting shafted kila weekend siyo good picture, na inapunguza morali na conditions/connections kwenye dressing-room.

Trent, ni Vice-captain, now, he's 25, VVD ni 31, so after 3-4 years, Trent atakuwa LFC captain, so anatakiwa ku-step up a LOT.

Against, Fulham, he impressed me sana, hence the post.
 
Even if we dont buy a 6 in january, kama Baj & Thiago wakirudi ndani ya muda kwa 2nd round, think we will be fine.

I was ready to give this new project (LFC 2.0) a little bit time, but seeing the way Arsenal & City are playing and shaping up this season, we have a serious shot at the title, IF tutafanya few things right in january.

The title is just there, an open race.
 
Beat Arsenal on 23rd December, and tutakuwa top of the table at X-mas.

I dont expect any upsets against Sheff & Palace

Sheff will be without a manager.

Crystal Palace will be without Eze & Doucoure.

And, well, United are getting spanked at Anfield, so i'm not even worried about that game.
 
Declan Rice.

Top signing for Arsenal.

Need to sort the GK situation in the summer.

You cant win the league with Raya & Ramsdale.
 
Updated Injuries.
Alisson
Robertson
Matip
Thiago
Bajcetic
Jota

First 6 teamers are out injured.

Alisson, back for United.
Robertson, i think itakuwa january.
Jota, uncertain
Matip, Uncertain
Thiago & Baj, uncertain.

Alisson & Andy wakirudi itakuwa ni boost.

One of Baj or Thiago akirudi in january, itakuwa ni big boost.

But, kwa Matip, we need a young CB in january, start to phase him out, him and Konate are becoming inabilities, get a new young CB, and let him grow with Quansah.
 
Declan Rice.

Top signing for Arsenal.

Need to sort the GK situation in the summer.

You cant win the league with Raya & Ramsdale.
Siku mbaya kwa Raya hata kina allson hua wanasiku mbaya kazini ila haipaswi kua ni muendelezo,akiwa na muendelezo Arteta hanaga rafiki wa kudumu benchi litamuita.
 
Eet beat arsenal at 23rd ya nnyokoo.. braza toe to toe.
 
Siku mbaya kwa Raya hata kina allson hua wanasiku mbaya kazini ila haipaswi kua ni muendelezo,akiwa na muendelezo Arteta hanaga rafiki wa kudumu benchi litamuita.

If you're an Arsenal fan, you need to open your eyes.

Raya is just good with his feet, but not a good shot-stopper, ubora wa Saliba/Gabriel/Tomiyasu/White/Zinny etc at the back, hautakuwepo kila siku ku-mask his weaknesses.

Buy a new GK in the summer, a world class GK.
 
Matip, knee ligament.

Tunaweza tusimuone tena in a LFC shirt this season.

Na kama, hakutakuwa na extension, then, it might be it.

JOB JOEL ANDRE MATIP.
 
Declan Rice.

Top signing for Arsenal.

Need to sort the GK situation in the summer.

You cant win the league with Raya & Ramsdale.
Kazi ipo then. Tumemleta Raya kama competition na upgrade wa Ramsdale. Shot stopping stats zake zilikuwa nzuri tu last season. Distribution yake bado ni decent na bado anasaidia sana tu gameplan yetu.
Leo analaumiwa kwa magoli mawili. Goli la pili, sawa apokee lawama. Goli la kwanza...hatukujipanga vizuri kuzuia goli. Hakukuwa na mtu kwenye post. Basic defending kwenye corner ni kuwa na watu kwenye posts. Gabriel Jesus naye hakupambana hata kumpa shida kidogo Osho. Odegaard alitucost hivi hivi naye. Goli la tatu, Barkley alifikaje mpaka kwenye ile position bila kuzingirwa au kukabwa? Nategemea English media watamshambulia Raya kwa sababu wako subjective katika views zao. Ila tukiangalia hili suala objectively, tunapaswa kutuliza akili na kurekebisha makosa yanayopelekea kufungwa kwetu magoli mepesi.
 
When was the last time you beat LFC at Anfield?

Where you even an Arsenal fan, the last time your team came out with a win at Anfield?
Well, the last time we beat Luton at Kensington was more than 30 years ago....

Jokes aside. We know we haven't beaten you guys at Anfield in a while but luckily you guys are still in the Premier League so we'll keep getting opportunities to try to do just that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…