Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nothing wrong, naelezea ilivochukua miongo Kwa Liverpool kupata kipa kama Alison

Kuja kupata replacement yake itachukua miongo
 

You're right
 
Well can't get surprised Hungary kumtumia dogo vile kwanza ni star nambari 1 kwao akiwa pia Captain wa timu ya Taifa na kwa kua walihitaji kufuzu Euro pale Ujeremani th team had to dig deep matokeo yake ndio haya sasa baada tu ya international break kuisha na dogo kurejea amekua a different player kabisa na yule tuliemzoea.. Well kwa kipaji kipo kinachotakiwa ssa ni Klopp ku identify huu uchovo na dogo apewe game management ili ku recover the lost steam..
Namuona Grav wa Ajax kwa mbali akirejea, we have to remember huyu dogo kwa msimu ulioisha he was more a spectator rather than being in th real action pale Bayern.. Chini ya Klopp we have a machine here..
Elliott woow he is aiming i don't know who ale benchi yeye apate namba.. This is good stuff aiaee Klopp has to get busy kwa hawa wachezaji ili anavyopanga kikosi aache mahaba mbali tupate those who can deliver... RCM he can play with time and since umri wake anafundishika vyema sana...

Once we get settled n 2 new signings in June or This January zen we are on πŸ”₯ πŸ”₯...
Already dalili mpaka sasa ni 3 team race EPL hivyo there is a lot to be done by players n Klopp kupanga a force to bring better results..

YNWA
 
Goli lake lilikuwa zuri sana ila mie kwa mahaba nimevote kwa TrentπŸ˜‚
Hiyo kura namna 35 ni yangu


Trent ,Mr of scoring impossible goalsπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯



Shkamoo Bobby
Nimefurahi kukuona
Hata lingekua la Trent halipo ungempigia kura Salah wewe na sio Mr Captain Chaos.
Tunakucheki Miss Liverpool 🀣 🀣

YNWA
 
Mahaba ya Kelleher na Trent yanakuwekea wingu wewe sio mbele🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣...

YNWA
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Leo ngoja tushuhudie Tena Striker la Dunia Darwin Nunez akigongesha miamba au kupaiza kabisa yeye na goli



Kazi ya Salah itakua kushika kichwa tuu au kuanguka kama Pep pale striker la Dunia atapogongesha mwamba
 
Hata lingekua la Trent halipo ungempigia kura Salah wewe na sio Mr Captain Chaos.
Tunakucheki Miss Liverpool [emoji1787] [emoji1787]

YNWA
Nimemsahau Salah wangu jamani

Huwa anavyonikosha,akishashika mpira anavyonyanyasa watu na zile mbio
Halafu huyoo anatuliza akili wapi apeleke mpira.


Salah ni genius sana aisee...hata shule nadhani alikuwa anascore A+
 
Nimemsahau Salah wangu jamani

Huwa anavyonikosha,akishashika mpira anavyonyanyasa watu na zile mbio
Halafu huyoo anatuliza akili wapi apeleke mpira.


Salah ni genius sana aisee...hata shule nadhani alikuwa anascore A+
Itoshe kusema mapenz yako dhidi ya sarafina yamekuelemea [emoji2]
 
Jamaa wamepaki basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umesema la maana. Acha niendelee kumtazama zaidi, kwa jicho ninalotumia kuwatazamia Kai, Martinelli na Nketiah
 
Hawa Sheffield mnawaonea tu. Ushindi nje nje hapa. Ila nawaombea Sheffield ushindi ili Ze Gunners tuketi zetu pale juu bila bugdha nyingi.
 
Alooo

VVD [emoji91][emoji7]
Msimu wa mabeki kufunga


Bila shaka ni goli la kichwa kutoka kona ya Trent.


Sijawahi ona goli la VVD tofauti na vichwa.
 
Mac Allister sizan kama hato toka na Injury [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…