Kwenye football world, kuna a lot of terms and words, ambazo they can be used kwa players ambao wanakuwa siyo kivutio kwa fans, its not a new issue, ipo kila mahali.
kuna aina za terms:
Not rating a player
Having an agenda against a player
Disliking a player
Hating a player.
As a football fan, huwa napenda sana kubaki kwenye hizo 2 terms za juu (not rating a player & having an agenda against a player). see, not rating a player is acceptable, because ni suala la opinions, fans huwa tunatofautiana tastes and how we want certain players kucheza, hence kuna fans duniani, hawam-rate Messi, or Ronaldo, unaweza kuona kama ni weird, but its just football, mfano kuna LFC fans, hawam-rate Salah, or Alisson, or VVD, its football.
Na, having an agenda, ni kuwa na blind-eye, kutoona kizuri chochote anachofanya mchezaji, mfano in modern football, kuna LFC fans wamekuwa na agenda against mid and world class players, i know fans ambao walikuwa na agendas na Mane, Gini, Fabinho etc.
Mimi, sifichi, katika modern LFC, I have never rated a lot of players, A LOT, but wali-overstay ni Lovren & Mignolet, na i have had consistent agenda against Henderson for years.
See, kuna tofauti hapo, i RATED henderson, but i was never conviced he was good enough to be a LFC captain, that was my only problem with Henderson, but kwa Lovern & Mignolet, sahau kuhusu agenda, nilikuwa naona hawafai kabisa kuwa LFC.
And, kwa agenda niliyokuwa nayo kuhusu Henderson, nilipigana vita vingi sana humu, but that didnt make me kumchukia au kutompenda, for WHAT? hating a millionaire? si ni ujinga?
But, siku tuliposhinda PL & CL, sikuona tabu kumpongeza na kumpa his flowers, because even though nilikuwa na agenda kubwa nae, but niliona kazi yake, na unajua ukiwa na agenda na mchezaji, inavyokuwa ngumu ku-change your opinions? because unawaza, sasa wapinzani watanionaje? (na hao wapinzani ni LFC fans wenzako), lakini, at the end i had to SALUTE Henderson, he kinda proved me wrong, ule msimu tuliobeba PL, and i had to give it up, imagine, after what? 6-7 years? but ukimya wangu uli-last short, maana alirudi kuwa m-bovu tena, (so nilishinda vita in the end, hahahaha).
But, not rating a player, having an agenda, ni tofauti na hate & disliking a player, hivi vitu viwili vya mwisho haviwezi kukuletea chochote mezani, nilijifunza hiki kitu a long time ago, kumchukia mtu anayeingiza billions of money kwa week? na anakuwepo at your club for 2-5 years max na kuondoka zake? unapata nini?
Na, players huwa hawachagui ku-flop, ni mazingira na pressure, sometimes ndiyo husababisha, players wengi wana-flop kwenye big clubs kwasababu ya mzigo wa expectations, na management, isipofanya kazi ya ziada, mchezaji anapotea.
Under Klopp, bila kufanya kazi ya ziada kwa Fabinho, alikuwa ana-flop Fabinho, na japokuwa alimkuta, Klopp bila kufanya kazi ya ziada, Firmino alikiwa ana-flop pale LFC., BUT hadithi zao zimeishia kuwa tofauti kwasababu walipewa muda na kuvumiliwa, na huwezi kumlaumu Klopp for Keita, he tried, Keita aliangushwa tu na majeruhi.
Now, tuna a very young team, yes we bought Nunez for a huge amount, but wote tulikuwa tunajua kuwa bado alikuwa ni very raw.
Nunez, kaingia Europe, (Benfica), akiwa na miaka 21, miaka yake yote ya mpaka anafika 21, alikuwa anacheza Uruguay, and after TWO seasons at Benfica, tukamnunua, yes msimu wake wa mwisho at Benfica ulikuwa m-zuri, but msimu huu mzuri ulikuja baada ya msimu m-baya wa kwanza at Benfica, so tulimnunua bado akiwa ana-find his feet and balance kwenye mpira wa ulaya, sasa umemtoa, Benfica at a young age, na ukamleta LIVERPOOL, one of the BIGGEST clubs in the world, kwa huge fee, with big expectations, inamaanisha nini? ina maana unakubali kuwa unaenda kumfungulia milango ya kuanza upya, unakubali kuwa unanunua asset, Klopp, the best attacking coach in the world, hakuwa mjinga kuwekeza hela yote ile kwa Nunez.
Steps za Haaland kufika City, ni tofauti na za Nunez kufika LFC, huwezi kufananisha their growth, Haaland grew up in Europe football, hakuwahi hata siku moja kucheza mpira, peku kwenye mawe, hakuwahi kulala njaa, hakuwahi kushindia maji, etc, ni mtoto wa kishua, from norway, to Austria, to German, to England, a smooth path.
We bought Firmino, tayari akiwa na misimu ya kustosha Ulaya (German).
We bought Mane, tayari akiwa na misimu ya kutosha ulaya, Austria, then he established himself in the PL akiwa na Southampton.
We bought Salah, tayari akiwa na misimu ya kutosha ulaya (FC Basel, then Chelsea kidogo, Fiorentina & Roma).
We bought Jota, akiwa na misimu ya kutosha PL (Wolves).
We bought Diaz akiwa na misimu ya kutosha Europe (FC porto).
Same kwa Gakpo ambaye amekulia kwenye good football conditions.
Ni tofauti kwa Nunez, and its fine.
He's trying a lot.
I gave Henderon 2 seasons.
I gave Lovren THREE seasons.
I gave Lallana, 2 Seasons.
I gave Mignolet 2 seasons.
etc.
You need to give these players time, kabla ya ku-throw ratings and agenda biasness. hiyo ni basic knowledge ya mpira.
And, hating or dislking a player, hakutakuongezea na wala kukupunguzia kitu in your life.