King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Ni kweli...Kuna kitu hakipo sawa kwenye Performance ya Diaz
Tapeli wa kutupaBenfica ni matapeli,...ni heri tungeenda Simba tumchukue John Boko badala ya kwenda kuuziwa garasaNunezi
Sio suluhu tuu hata kupigwa kabisaMsipoangalia mtasuluu
TAfuteni DM wa kueleweka😀😀😀...yule Endo hamna kitu paleSiku si nyingi naanza kuwa against na NUNEZ
Ova
Nitafutie yle anayejiita Saint Anne....kaja kutupigia kelele kwli kule kwny jukwaa letu....sijui wamerudi kileleni sijui nn🤠🤠🤠...Kiko wapi sasaamna timu hapa bahati yenu kikosi kama kizima majeruhi mmecheza na watoto leo.
nunez[emoji1787][emoji1787]View attachment 2845393