Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji419]said it.....we lost two easy points

hiyo ya arsenal nayo ni a must win game maana unai naye hana urafiki na sisi kabisa maadui wanakuwa wengi tu

-Mwanangu szobo sijui wamempiga misumari aisee[emoji18]
unai naye hana urafiki na sisi kabisa maadui wanakuwa wengi tu
🤣🤣🤣 msimuwenu huu
 
KWA HERUFI KUBWA TU NUNEZ AUZWE KWA MUSTABALI WA TEAM AMA ATOLEWE MKOPO HATA SUNDALAND.
Anakoelekea atawavunja moyo na wenzie
Maana wenzie wanapambana sana kucheza na kumpa assist amalizie , halafu yeye anakosa

Yaani siyo kero kwetu mashabiki tu, Bali hata wenzie watachoka kumvumilia.
 
We jamaa uliona mbali🥲

Mimi nilikuwa nishapanga hesabu zangu goli 5 kuendelea

Ila hapo kwenye tembo ase8 lazima tumtandike.
 
Nitafutie yle anayejiita Saint Anne....kaja kutupigia kelele kwli kule kwny jukwaa letu....sijui wamerudi kileleni sijui nn🤠🤠🤠...Kiko wapi sasa
Washukuruni nyumbu

Ila kukaa kwenu kileleni kipapatu papatu kunaisha mechi ijayo
 
Najua ni ngumu kwenu kuona mazuri ya droo ya jana ila acha niwape baadhi.
1. Ten Hag anapata nafasi ya kupumzika kidogo na presha kushuka. Manyumbu hawamtimui. Atashinda/kutoka sare mechi 2-3 halafu vipigo vitarejea juu yake. Hii ni muhimu kwa timu zingine nyingi zinazohitaji kuchota points kwa manyumbu.
2. Liverpool wanaona mapema wapi kuboresha January ili kupigania ubingwa. Pamoja na kuwa ni derby ila bado mtapata cha kujifunza.
3. Sare ya 0-0 inawapa point 1 bila kuimarisha GD yenu huku ikiturudisha sisi pale kileleni tunapostahili.
 
Ila wewe...hapo uliweka watu wa5. Yaani ulitaka kumpiga nyumbu 10? Na wengine wawili wangepata moja moja mgewapiga 12? Kuweni na kiasi aisee acheni roho mbaya.
Niliwaambia manyumbu kufikisha GD ya -10 ni jukumu letu sote, msijitwike mzigo wote peke yenu. Mpigeni 1-0 na wengine watakuja kuendeleza. Ona sasa yaliyotokea
 
Tatizo halikua nunez

Tatizo mido ilikosa ubunifu

Kila player wanted his name on the scoreboard
Meaning kila mchezaji alitaka headline aisee....

Kwa hio walita kama hivi..
Salah spank Tag boys....
Diaz on spot as Tags fall again..
Business as usual Trent claiming MF by nailing Tag boys.. Nk nk nk

2 points lost against a toothless Manchester United sio mara ya kwanza hawa jamaa wakiwa out of form kutubana nadhani pia ma over confidence ya wachezaji...

Nwa that done n dusted next Carabao Jumatano then Arsenal on the road.

YNWA
 
Mushukuruni sana korona nyie punyeto fc..ndio ili wasaidia kupata zil trophies

Another 20 yrs hamtagusa chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…