Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Usimsahau Minamino Chief
 
ahah eti the right time, the right player

Jamaa yetu mpaka mtu aumie ndio anaelewaga somo
 
Jarell Quansah ni kama like a New signing hivi [emoji16][emoji16][emoji16] YES, Nadhani kama angekuwa anacheza Midtable Premier League timu Value yake ingekuwa si chini ya Β£50m.
True
 
In terms of pure finishing,No one in the squad comes close to Diogo Jota.
In terms of shot accuracy Jota ana 40%, Diaz ana 31%, Nunez ana 42%,, Cody ana 33 % na Salah ana 44%Β°
Shot accuracy is one area they can do some improvement.
Shot kwenye tight angles Jota is such a beast na kufunga headed goals yupo vizuri sana.

YNWA
 
Usimsahau Minamino Chief
Minamino, Solanke,Ben Davies hawa walinunuliwa kukuzwa kiasi aafu wauzwe kwa faida na hilo lilifanikiwa.

Elliot, Fabio, Doak, Gordon, Bajetic, Marcelo, Sepp, nk nk hawa walinunuliwa kukuzwa na kua world beaters ili kuokoa pesa kwa klabu kwamba kila wakihitaji kununua mchezaji wasilipe premium fee...

YNWA
 
nina imani na huyu dogo na yule mwingine wa kuitwa Doak wako vizuri sana
Klopp na jopo lake la walimu sasa wameelewa kwamba wachezaji wanahitaji real time action ili wawe tayari kupambana kwa ajili ya timu. Quansah ni mfano bora kabisa.

Zamani tulizoea wachezaji ni wale wale walitumika na kuchoka sana lakin sasa tuna kikosi angalau kipana.
Hatuna LB chaguo la kwanza kwa sasa lakin Gomez ame step up vyema sana.

Hatuna natural DM lakin Macca, Endo wame step vyema.
Tumepotoeza gemu 1 huu mzunguko wa kwanza EPL, hii sio jambo rahisi na vijana wamepambana haswa.
Cheers kwa vijana.

YNWA
 
kama nakumbuka vizuri ubingwa huko tumeukosa si kwa kufungwa bali kwa kutoa draw nyingi

tupunguze pasu kwa pasu kama tunahitaji ubingwa
 
kama nakumbuka vizuri ubingwa huko tumeukosa si kwa kufungwa bali kwa kutoa draw nyingi

tupunguze pasu kwa pasu kama tunahitaji ubingwa
Kwa hali ilivyo ndugu angalau kupata pointi moja na kua kileleni mwa ligi ni hatua nzuri sana kwetu...

Gemu ya Spurs ndio angalau VAR walitughulumu laivu bila chenga...

Mzunguko wa pili target iwe kupunguza hizi sare kua magoli sasa

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…