Arsenal walipaswa kumaliza mechi kipindi cha kwanza ila utoto ukawa mwingi. Walitukamata sana hatuwezi kufanya build up kwa uhuru. Jurgen knew it. Akamrudisha Elliot MF, Diaz akaenda RW kidogo tukaanza kubreak lines zao. Walipoingia Jota na Graven tukawafungua vya kutosha.
My MOTM, ni Konate kuanzia kipindi cha kwanza. Alimcover TAA vya kutosha alijipanga vizuri sana as a senior CB. Kudos kwa Jarell Quansah jamaa mtulivu mno no pressure with and without the ball. Toka siku ya kwanza nilimkubali Quansah na anaendelea ku improve sana.
Connor Bradley aisee he came in and pocketed Martinelli 99.99%, shut him down hatari zote za Martinelli akazizima. Nafikiri Bradley anazidi ku improve kwa kadiri anavyocheza. May be atamuhamisha TAA into the MF coming days.
Bobby Clark, boy come in and add energy into our MF.
Leo kitu kizuri kilichoniacha hoi ni kucheza na namba sita wa tatu nyakati tofauti ambao sio sita kwa asili and we still have managed to hold them.
Alianza Macca, akatoka Macca akacheza Jones, akatoka Jones akacheza TAA.
Kuna muda mkiwa vizuri mambo huwa yana flow tu yenyewe.
Kudos to Klopp na vijana wake.
Next Carabao Semi Final at Anfield, vs Fulham.
YNWA