Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Think he will still end up at Madrid.

But kama Madrid wakizingua race itakuwa open.

Uwezo wa kumsajili Mbappe tunao, but issue ni FSG, kama wataona financial package yake ni reasonable.


What's your opinions kuhusu ...super league... Perez naona mahakama imempa go ahead...unafikiri watafanikiwa in the end??


Halafu unasemaje kuhusu Everton point deductions?why Everton na sio man city?..or Chelsea?....
 
What's your opinions kuhusu ...super league... Perez naona mahakama imempa go ahead...unafikiri watafanikiwa in the end??


Halafu unasemaje kuhusu Everton point deductions?why Everton na sio man city?..or Chelsea?....

Last para huihataji akili kubwa politics in football. Pesa waliyopenyezewa FA sio fungu dogo hilo ngumu kulikataa.

Hiyo super league itapata nguvu kwa sababu ya mambo kadhaa.

1. FA ina nguvu mbele ya vilabu lakini wao hii ni zile ligi tano bora ila nitaegemea zaidi FA ya England. Klopp alisema anaunga mkono Super League sijamshangaa maana ngumu kukataa kwa sababu mabosi zake ni Americans na ndio wanaendesha zoezi zima. Lakini Klopp alisema timu zitakuwa huru. Niliwaza kwani vilabu vinabanwa sana? Jibu ni yes.

Embu angalia tu season hii blander za marefa lkn wamefanywa nini? Timu zimedhulumiwa points, red cards na fines kwa wachezaji je kwa washirika wao(referee and VAR) wamefanywa nini zaidi ya kuombwa radhi? Angalia ishu kama ya Everton na ile City je hauoni kuna uminywaji??

Angalia vilabu vinalalamika too many games in a short period of time inasababisha players kuumia. Japo kweli Super League muundo wake haujajulikana (kwangu binafsi sijaufuatilia) ila umejikita kuwapa uhuru vilabu, na target yao kubwa ni PESA. Beyond huo uhuru kuna money generation wameiona.

Tusubiri MosDef aje aseme jambo juu ya hili.
 
Dah yaani mwaka 2018 nilipopata laki 2 tu niliamua kuoa na nikaona maisha niliyapatia kwelikweli lakini Sadio Mane na Utajiri wote alionao ndiyo kaona jana alikuwa bado anajitafuta 🙆🙆View attachment 2865601
Maskin Mane alikua ana date na Mellisa Reddy kutoka Sky Sports wame date kwa mwaka hivi au zaidi japo penzi lao lilikua la kimya kimya pengine sasa ameona ni muda sasa wa kufanya kweli kama mzungu anasubirisubiri..
Melisa ni mzaliwa wa sauzi na alikutana na Mane pale Anfied kwenye interview ndio mahusiano yao yakaanza pale pale naona lile tabasamu la Mane lilimsweka Melisa na kujikuta mikononi mwa dogo mazima.
Hongera zake kwa kuanza safari yake mpya ya maisha ya ndoa.

Pole kwa msauzi huyu hapa
Mellisa Reddy

YNWA
 

Mwamba kaangukia hapa 😂😂😂
 
Sema Mane naye angebaki Liverpool angekuwa na same status ya ulegend kama Salah but move yake hakuacha picha nzuri tofauti na Bobby au Fabinho.
Same tu Hendo angekuwa na same status with Gerrard lakini kiburi chake cha kufanya Interview na kumlaumu Klopp na Liverpool kimemfanya asahaulike mapema sana.

Same to Michael Owen huyu angelikuwa Greatest Legend ever kuliko Gerrard asingekubali move ya Real Madrid na ile ya kwenda Manchester United.
 
Huyu yupo uchi uchi hivi na Ustadh Mane wapi na wapi
Angempasua kichwa Mane wetu.
 
Kwahiyo HENRY14 mkaona mkivaa nyeupe tutaogopa😂😂😂

Niliona mchambuzi wenu anawachambulia eti mnavaa nyeupe kutokomeza The Reds
Sisi ni timu ya wanaharakati mkuu. Nadhani sisi ni miongoni mwa timu kubwa za kwanza kwanza kuweka uwanjani wachezaji weusi zaidi ya 8 kwa pamoja na tumesaidia sana kupinguza chuki dhidi ya watu weusi jijini london na uingereza kwa ujumla.

Tunakuwaga na 'no more red' campaign ambayo inakusudia kufichua na kupinga knife violence mitaani. Njia moja ya kufanya hivi ni kuvaa jezi nyeupe katika mechi zetu za nyumbani, sana sana mechi za vikombe.

Si unajua tena sisi ni timu kubwa iliyopitiliza mipaka ya soka na kuingia kwenye harakati.

Kilichobaki ni kutoa viochapo uwanjani. Siyo tunaweka ujumbe muhimu kwa jamii na uharakati mwingii halafu uwanjani tunapigwa hata na Livakuku.
 
Badilisheni kabisa na chata yenu iwe nyeupe Madrid wa mchongoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…