Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goal la kwanza ndio unapata kujua kuwa jones amakuwa kweli kiakili, utoto wote umemuisha.

Bladley hii mbavu kweli kweli kwa upande wa kulia.
 
Kilichobaki tushinde mechi zetu


Hizi Europa na Carabao ni za kuweka tu watoto akinan Nyomi na wenzie

Uzuri hawa watoto washanusa harufu ya ubingwa
Wanakiwasha hatari

Halafu EPL tunaingiza full mkoko

YNWA🔥

Hapana! Ili tuwe na Timu ni lazima tushinde kila kitu, ukubwa na ubora wa Timu kujaza makombe kwenye Kabati haijalishi ni Micky mouse au vipi.

Kila Kombe tuingize Timu ya ushindani ili tushinde.
 
Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇

1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa ✔️
3) .......

Tuliambiwa bila ya Salah tutapoteana haya hesabu inaendelea sasa bila ya Salah 👇

1) Arsenal kafa kwake ✔️
2) Fulham kafa Anfield ✔️
3) Bournemouth kafa kwake✔️
4) .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…