Kwa ufupi hakuna tunachowadai wachezaji wala Klopp...tuombe Tu Man city apoteze mechi 2 Tu baasi. .Toka Klopp amekuja hii ndio transfer window ya kwanza kelele ni ndogo na pressure ipo ndogo sana kuhusu newcomers, why? Its about MIDFIELD RESHUFFLE and Improvement from the boys (Jones, Elliot, Gomez na kwa sasa we have Quansah and Bradley).
Kwa ufupi hakuna tunachowadai wachezaji wala Klopp...tuombe Tu Man city apoteze mechi 2 Tu baasi. .
We still need a cb, rb, cdm and possibly Ivan ToneyWe are above our expectation.
Nafikiri vitu kadhaa ndivyo vyakuomba visitukute
1. Long term injuries
2. Inconsistency from our players.
Maana VAR & PGMOL wapo against sisi kwa over 99.99%.
Incident mbili za jana na hapakuwa na ishu
Foul ya Jota at the age of the box 2nd half.
Foul aliyofanyiwa Diaz, it was the challange committed by Jones vs Spurs that of Jones vs Spurs was too softy but ended with Red Card. Ila ya jana wakaishia kutoa kadi ya njano tena baada ya review ya muda.
We the victim of referees this season, good we have mentality monster never give up.
Lets take that Trophy infront of form challangers.
Vilaza katika comparison
Marahabaa
Afcon watu wanapasua wenzao mapaji ya uso na viwiko
Tunawadai EPLKwa ufupi hakuna tunachowadai wachezaji wala Klopp...tuombe Tu Man city apoteze mechi 2 Tu baasi. .
Can’t stop scoring 😂😂😂😂😂
Nunes is better from the flanksMarahabaa
Hujambo?
Naona Diogo Jota kafanya yake jana kama kawaida yake
Kufunga alishazoea,hafanyi topic.
Kitu kizuri ni kua tutazidi kua hot misimu ijayo coz wote hao n machaliiToka Klopp amekuja hii ndio transfer window ya kwanza kelele ni ndogo na pressure ipo ndogo sana kuhusu newcomers, why? Its about MIDFIELD RESHUFFLE and Improvement from the boys (Jones, Elliot, Gomez na kwa sasa we have Quansah and Bradley).
Jinsi CJ17 alivyokuwa anazunguka pale uwanjani, alimpa kazi nyepesi sana Mc10. Hakika dogo amekuwa mtamu kama mcharo. Sijui kiwango cha maumivu aliyopata ni makubwa kiasi gani; yasije yakawa makubwa yakamrudisha nyuma tena.Kuna muda mpira una ukatili sana.
Embu fikiria
No Salah
No Endo
No Szobozslai
No Robbo
No Tsimi
No Trent
No Matip
That performance from the boys mpaka unawasahau wasiokuwepo.
Macca stepped up kwenye 6. Role was insane yesterday.
Jones wowowo boy has come from where we had seen him.
Konate ameiva hii january ametupa good performance.
Gomez & Bradley assists [emoji91][emoji91][emoji91]. Naimani Bradley akipata game time green light kwa Trent into the MF.
Diaz & Graven still find their feet wish all the best.
Kudos to the boys
YNWA
Uchokozi pro max. Sasa saka amemfanya nini huyo torvik?
Mlibweka sana aiseeUchokozi pro max. Sasa saka amemfanya nini huyo torvik?
We still need a cb, rb, cdm and possibly Ivan Toney
Marahabaa
Hujambo?
Naona Diogo Jota kafanya yake jana kama kawaida yake
Kufunga alishazoea,hafanyi topic.
Nipeni matokeo
Kumbe tumecheza!
Nilikuwa busy,
Uzalendo kwanza,Kushuhudia Kichwa cha mwendawazimu kikinyolewa bao la mkono wazee ya dakika ya 90.
Can’t stop scoring [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]