Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Reason nahisi huenda ikawa ni kwenye usajili kwa FSG kushindwa kumpa wachezaji anaowataka

Nimewaza ishu ya FSG lkn kwa angle ipi,? Ndio sijajua labda ishu ikawa next transfers. Lakini kama ishu ni hii angeondoka miaka mitatu au minne huko. Na kama ni FSG ndio chanzo basi tujiandae kiakili maana yajayo sio mazuri mpaka Jurgen yamemshinda ni jambo zito hilo.
 
Kuhusu kocha mi natania tu Mkuu
Kiukweli sijui chochote kuhusu ukocha.
 
Hee
Huyu baba mbona anataka kutuacha yatima 😭
Kupumzika ghafla hivyo?😳
 
Ni muda wa ku select the right manager maana sisi hatutegemei pesa nyingi kununua wachezaji kwa hiyo tunategemea sana na ubora wa kocha. Tukikosea hapa itatuchukuwa muda mrefu sana kurudi kwenye ubora.

Alonso & De Zerbi wanapigiwa chapuo la kuchukua mikoba ya Klopp. Je watafiti jibu ni ngumu kulitoa maana kocha yeyote yule akiwa mgeni ni probability ama ikulipe au ikulipue.

Tumeshuhudia makocha wazuri wametoka team A kwenda team B na kushindwa kufikia matarajio na mipango ya timu.

Potter from Broghton to Chelsea
ETH from Ajax to utd
Emery from Sevilla to PSG to Arsenal
Nuno Espirito from Wolves to Spurs

List goes on…

Hapa ndipo FSG wanapaswa watulie watumie uzoefu wao kwanza kumchagua Sporting Director mwenye great vision and mission, kisha kocha afwate.

Its time FSG wakamalizana na Edward wakamrudisha with a good coach bado tutabaki kwenye ushindani.

Ngoja tuone moves zinazofuata, sio ajabu ukimwoma Pep Lijnder as our new boss.

YWNA
 
Jurgen Klopp anaodoka na jopo la wasaidizi wake.

Aje Alonso anatosha kuanza upya hakuna namna.

YNWA
 
Jamani😭
Mbona hawakusema

Klopp naye
Anaondokaje timu imenoga hivi?Nunez anamuacha na nani sasa?
😂 😂 Na Salah kwani anaodoka na Klopp....
Well sleep on its dogo...
We have been through worse scenarios kuliko hii..
Nina imani kwamba misingi ipo na FSG kuna kitu wamejifunza kutoka kwa Klopp hivyo wako prepared zaidi kutoleta kocha wa majaribio design kama Rodgers...

YNWA
 
FSG wamemfanya nini Klopp?
Hana tena nguvu aisee mashindano ni mengi sanaaa yaaaaan anasema kila akijitazama upepo wa kusonga mbele umeisha hjisikii kuedelea tena akijua fika hatajitoa asilimia 100 kwa klabu ndio maana ameona apumzike tu kwa sasa kuliko kuwepowepo aafu asiwe committed...
Kawaambia FSG tangu November 2023 kwamba mwisho wa msimu anasepa.

YNWA
 
Liverpool wapambane sasa, wamuage kwa taji lolote.

Seems like Klopp anaumwa. Anaenda kupumzika sasa. Tunamtakia kila la kheri.

Sisi United, tumefarijika sana.
Mwaka wa 10 huu hamjashinda EPL na mwaka wa 10+++ hamjashinda Champions League.. Poleni sana angalau Klopp katuacha pazuri kuliko alipotukuta.

La kuumwo kasema hana ishu ya afya inayomsumbua.

YNWA
 
Dear Jurgen Klopp

As the time comes to bid you farewell from the helm of Liverpool, it's hard to put into words the profound impact you've had not only on the team but on the lives of fans like myself. Your journey with Liverpool has been nothing short of extraordinary, marked by passion, resilience, and an unwavering belief in the power of unity.

Your arrival at Anfield in 2015 was a turning point, injecting a renewed sense of hope and determination into a club that was hungry for success. The famous "heavy metal football" you brought with you wasn't just a style of play; it became a philosophy that resonated with every supporter. Your exuberance on the sidelines, your infectious smile, and your genuine connection with the players transcended the pitch, creating a bond that extended beyond the confines of the stadium.

What makes your tenure at Liverpool truly special is not just the silverware you delivered, but the way you brought the community together. The spirit of "You'll Never Walk Alone" was revitalized under your guidance, becoming a mantra that echoed not only in the stadium but in the hearts of fans around the world. Your emotional intelligence, your ability to understand the pulse of the supporters, and your genuine love for the game made you more than just a manager; you became a beacon of inspiration.

Personally, your leadership has been a guiding light in my life. Your philosophy of embracing setbacks, learning from failures, and always believing in the journey has inspired me during challenging times. Your resilience in the face of adversity taught me the importance of perseverance, and your commitment to teamwork illustrated the power of collective effort in achieving greatness.

As you embark on a new chapter in your career, know that your legacy at Liverpool will endure. The memories of triumphs and the indomitable spirit you instilled in the team will forever be etched in our hearts. Thank you, Jurgen, for not just being a remarkable manager but a true inspiration. You'll always be a part of the Liverpool family, and wherever your journey takes you, we'll be cheering you on with the same passion and fervor that you brought to Anfield.

Farewell, Jurgen Klopp, and may your next adventure be as glorious as the one you shared with Liverpool.

You'll Never Walk Alone.

Sincerely,
Baba swalehe
Love you a million times [emoji3590]
 
Noted. Kiukweli sijahuzunika kuondoka kwa klopp. Kashajitahidi kwa uwezo wake wote. Kaleta vikombe ucl, epl, nk. Tukubali changamoto nyingine. 8 yrs imetosha. Liverpool will remain the same without klopp.
kweli bora anaoandoka kwenye heshima yake vilivyo
 
Jamani[emoji24]
Mbona hawakusema

Klopp naye
Anaondokaje timu imenoga hivi?Nunez anamuacha na nani sasa?

Tutajua huko mbeleni.

Akija kocha mwingine hawa vijana ni 50/50

Jones
Elliot
Bradley
Quansah
Kelleher
Clark

We shall see. Kazi kubwa inapaswa kufanyika ili kubaki kwenye ushindani aisee.

Top coaches ni wachache but we can make another middle coach to be akong top coaches.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…