Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

naona kuna Niggaz wanajaribu kujifananisha na RMA...

ushabiki Maandazi ni m-baya sana!!!
 
amefanikiwa kaka....1-0 is respectable score at Bernabeu

Kwa kweli kaka
Lakini jamaa zangu humu ndani bila aibu ni kama wanafurahia kufungwa 1-0 na Real Madrid, kwao huu ni ushindi, ile spirit ya never say die, spirit ya Istanbul imekwenda wapi?
Liverpool inataka kufanana na Arsenal ambao husherehekea kumaliza nafasi ya nne? Madrid walikua na off day jana ila walikua na uhakika na matokeo kwa sababu ya line-up ya Liverpool
 
Nimependa Jana tulivyocheza without SG, Hendo, MB, Steering and PC.......

Can
This boy done a great great job yesterday sikutegemea kama ataweza mficha Modric.... ingawa dizaini kuna muda alikuwa anaonekana kama amechoka hivi ila he impress me to the maximum

Toure
This brother Jana he do a perfect job alionesha uzoefu wake kwenye uefa, hakuwa na papara he is better. Kwa game ya Jana nampa 98.9%. Salute to brother Kolo.

Leiva
Jana alidhibiti vizur dimba sijui kwanini game zingine huwa anazingua kwa performance ya Jana he is good

The team
Nimeipenda timu ya jana ila nahisi akiongezwa PC itakuwa good hasa kumtumbukizia Borini pale mbele. Wasiwasi wangu kuja kukutana na kikosi kipya kabisa kwenye game ya jumamosi, kiukweli sijawahi kuwa impressed na sterring this season kuna muda na-wish hata aumie ili tu asipangwe jumamosi
 
nshasema na ntasema siku zote...HOFU YA LIVER NI ASERNAL TU UK SIO HAO WADUDU WENGINE,,MAN CITY,CHELSEA...HATAKAMA TUNGEKUA WABOVU KIASI GAN LAKIN CHELSEA KWA LIVER NI MCHUMBA TU..."JMOSI INIHUKUMU"
 

TOURE aliniudh sana coz goal alikua anauwezo wakuokoa ila yy akabak anaomba offside,,but ni kwa ilo tu kwakiwango jana alikuwa juu.....Ngoja tusubil wa bwabwaji jmos tuwavue chup ili watulie
 

kwa perfomance ya gemu zilizo pita naweza sema lazima tufurah kwa kufungwa 0-1 but technically tunafuraha sana na kiwango cha gemu ya jana coz tulijua itakua mvua ya magol......BADO KUNA BIKRA JMOS TUNAMSUBIR
 
naona unaanza kutafuta visingizio, humwamini kocha wako? Inaonekana huiamini timu yako. Achana na "labda labda" na "lakini lakini"....subiri kipigo ndugu. Acha kujiandalia visingizio.

andaen maji ya moto bikra inakuja kutolewa....tena na balotel....teh teh tehteh
 
waache wajilishe matango pori....! Wanafikiri chelsea ni km madrid....! Jana si walikua wamepaki bus na kwa chelsea watajifanya kutoka kutafuta goli hapo sasa ndio watamjua mourinho kua ni nani....!

jiandaen bikra inatolewa jmosi...tena na balotel
 
Washabiki wa chelsea naona mnaanza kubweteka, hivi kweli nyie ni wazuri zaidi ya madrid???? Ebu acheni kujilinganisha eti unafikiri chelsea ni km Real madrid. Mnao mpira gani wa kujivunia? Seriously!

numbers don't lie,
angalia tumecheza game ngapi so far this season, tumeshinda ngapi,draw ngapi na tumepoteza ngapi,
then linganisha na Madrid,

*Mind the Gap*
 
numbers don't lie,
angalia tumecheza game ngapi so far this season, tumeshinda ngapi,draw ngapi na tumepoteza ngapi,
then linganisha na Madrid,

*Mind the Gap*

Duuu mapenz/unazi shida sana
 

madrid hawakukanyaga mafuta..kutokana na kikoc cha liver kilichopangwa ...dont get carried away!
 
Suarez spoke to a Chelsea player about them parking the bus siku ile kwenye ile game ya Anfield UWANJANI...
 

Attachments

  • 1415208633296.jpg
    31.5 KB · Views: 105
Comolli (former LFC's director of football) anasema signing ya HENDO kipind kile ndo ilifanya afukuzwe kazi!

Anasema...

Comolli- "when we signed Jordan Henderson he got so much criticism, I got so much criticism, I was never told why i was sacked but i believe it was because we signed Henderson, owners were convinced he was not good enough"
 

Hivi huyu jamaa siku hizi yupo wapi na anafanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…