Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Last season tuliambulia point 1 kutoka kwa Arsenal.
  • Kipigo Emirates
  • Draw Anfield

This season tunaambulia tena point 1 kutoka kwa Arsenal.
  • Draw Anfield
  • Kipigo Emirates
 
timu imecheza vizur juzi tu hapa na yeye kaiona Leo kawaacha wachezaji karibia wanne nje...ntamwelewa kwa szobo ambaye alikuwa anaumwa ila kwa Nunez na Bradley amekosea aisee

Grav's naye bado Hana Ile fluidity ya EPL Bora hata dogo Elliott
 
Hapo kikeleni ni sisi tumewaegesha hapo. Tukiamua kuwatoa ni ishu ya chaap sana.
Domo kata kwshaibuka

Hawa jamaa aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
timu imecheza vizur juzi tu hapa na yeye kaiona Leo kawaacha wachezaji karibia wanne nje...ntamwelewa kwa szobo ambaye alikuwa anaumwa ila kwa Nunez na Bradley amekosea aisee

Grav's naye bado Hana Ile fluidity ya EPL Bora hata dogo Elliott
Bradley amefiwa
 
Jogoo anaishi Liverpool huko kwenye mashamba ya miwa ety aje awike mjini London πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…