nyangelekene
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 481
- 344
Wewe ulifikiri Mimi Mzungu? Wenzako Mbona wasema wanatufunga kabla ata ya Mpira kuchezwa hao sio waswahili? Au kwasababu wao Ni loser Wenzako? Tutakwenda sawa tu..! Mkirusha maneno na sisi tutarusha maneno...!
Nawashwa kuja kuwatoboa.... Msimu uliopita niliwatoboa kotekote na safari hii mjiandae....! Nakuja Bwana wenu..!
mnafurahi kutobolewa na madrid kimoja? Yani nyie hamuoni ata aibu...! Mmedhihirisha udhaifu sn....! Mnabutuliwa kotekote na madrid alafu eti mnajifariji kwa kufungwa kimoja santiago! Loser......!
steve g slip
Tnafungwa
Huamini katika miujiza?
Liverpool
Mignolet
Moreno; Lovren; Skrtel; Johnson
Gerrard
Can; Henderson
Coutinho; Sterling
Balotelli
Chelsea
Courtois;
Azpillicueta; Terry; Cahill; Ivanovic
Matic; Ramires
Hazard; Oscar; Fabregas
Costa
Kocha kilaza kwann tusifungwe lucas yuko wapi hapo
can kachukua chansi!