Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Macca as 6 improved no doubt about it na Kops tumeridhika. Ni muda wa Klopp kuwatumia Endo as Anchor and Macca as deeplying play marker hapo amalizie Jones as long as Szobo bado hayupo fit, or rather Klopp can use Trent as RCM with Endo and Macca with him,

Trent as RB kwa sasa ni suicide atleast few season ago ila kwa sasa No No No, trent amegoma kuwa RB kwa matendo.

YNWA
 
Mwanangu Ramsdale pamoja na bangi zake zote ila huwa haachi goli
Hata angedaka De Gea au Ramsdale su Raya, makipa bora wa ligi, bado tungewapiga tu hata zaidi. Nyie kuku ni chakula kwetu tu siku hizi
 
Naona mmelewa sasa

Liverpool bingwa utake usitake.

Ndo maana unashinda jukwaa letu la mabingwa wa dunia 😂
Hawa sasa ni vibonde wetu tu hawa. Hawana tofauti na Manyumbu na Chelkenge. Yaani tunajipigia tu na wakipona sanaaaa, basi wanaambulia sare.
 
Timu ambazo Zina ukame wa ushindi ni kawaida kushangilia


Mabingwa Sisi tushazoea ushindi.
Na sisi kwa kweli msimu huu tumepitia magumu mnoooo. Yaani hata Fulham na West Ham eti wametupiga. Hai ingii akilini kabisa ila yametokea. Tungelegea hata timu ndogo zingine kama Liverpool zingetuvimbia
 
Na sisi kwa kweli msimu huu tumepitia magumu mnoooo. Yaani hata Fulham na West Ham eti wametupiga. Hai ingii akilini kabisa ila yametokea. Tungelegea hata timu ndogo zingine kama Liverpool zingetuvimbia
Unawait mabingwa timu ndogo?
 
Timu muda wote wanalia
Ni vichapo tu

Acha wasafishe nyota[emoji23][emoji23][emoji23]


Ukipita jukwaani kwao utaona sasa wanavyomsikiliza Hamis akichambua,anawaambia EPL wanaibeba[emoji23]
Wakipigwa Hamis anopotea, na wanaanza kumlaum Hamis [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…