Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na sisi kwa kweli msimu huu tumepitia magumu mnoooo. Yaani hata Fulham na West Ham eti wametupiga. Hai ingii akilini kabisa ila yametokea. Tungelegea hata timu ndogo zingine kama Liverpool zingetuvimbia
Mtoto anashangaa wiki hii baba hanifokei

Arse8 muda wote mna hasira 😂

Endelea kuenioy wateule wa football, Liverpool.
 
Mtoto anashangaa wiki hii baba hanifokei

Arse8 muda wote mna hasira 😂

Endelea kuenioy wateule wa football, Liverpool.
Hasira za kutoka uwanjani na kuzipeleka nyumbani hapana aisee. Sisi hatuna huo utumbo. Hayo mambo tunawaachia Manyumbu, kuku na chelkenge.

Dogo mwenyewe tu ni mtundu na mchangamfu, haswa akiwa na sisi, kwa hiyo mara zingine nalazimika kumtuliza kwa ukali kidogo.
 
Tatizo Klopp ngumu kama mamba hapati maumivu ni akiona dam ndo anastuka na inakua tushachelewa
 
Kuondoka kwa Klopp kunaninyima usingizi kwakweli.

Yani kila nikikumbuka Dark Ages tulizopitia basi nakosa Amani.
Salah uarabuni

TAA ,VVD wanasubiri mustakabali wajue kocha gan anakuja

Kifupi mnaenda kuwa kama manjesta ya ETH[emoji1787][emoji1787]
 
Kuondoka kwa Klopp kunaninyima usingizi kwakweli.

Yani kila nikikumbuka Dark Ages tulizopitia basi nakosa Amani.

We need to enjoy with what we have first,. Historia sio lazima iishi kama ilivyozoeleka kama tu utaamua kujifunza kwa mapito yako.

FSG hawakuwahi kupitia ubora kisha wakaishusha timu, nafikri tulikuwa hovyo toka wachukue timu, kwa sasa wamejifunza mengi sana na wanajua biashara ya mpira kwa sasa ni nini wanataka. Ndio maana umeona wamemjaribu Edward na amechomoa bado sijajua wanaangalia Sporting director mwenye uwezo. Kitu ambacho ni mafanikio ya timu nyingi ukipata director mwenye jicho zuri la kimpira plus good coach yes utakuwa mkali.

Kurudi enzi za kina Borini na lambert ni kutaka wao wenyewe.

I’m confidence enough we will still be up there,

YNWA.
 
Tatizo Klopp ngumu kama mamba hapati maumivu ni akiona dam ndo anastuka na inakua tushachelewa

Ubora wa Trent upo offensively na ametest hiyo hali several times, uwepo wa Bradley umefanya Trent awaze moja kwa moja MF.

Nawaza tu Szobo huenda akakosekana february nzima, vyanzo vingine vinasema, 7-8 matches out, na chanzo ni over work anayopewa na Klopp kwa ajili ya ku mcover Trent. No Szobo no Konate, hawa ndio walitumika kumlinda Trent, kazi itakuwa ama kwa Endo na Quansah au Gomez, it all depends na Klopp ataamua nini.

Trent laizima apate DM kazi kazi, monster man ili afanye kazi yake hapo trent utamuona.

Kwa mimi kama ni Klopp ningemweka Trent as RCM upande aliokulia akicheza hapo, utofauti majukumu ya kuzuia yanapungua, naachana na inverted RB hii system ipo limited sana kwenye kuutanua uwanja, utakuta anakuwa Salah pembeni au whoever will play RW. Atleast alipokuwa Bradley inverted alikuwa anacheza Gomez akiwa as LB anaingia kwa ndani kidogo kuongoza idadi ya viungo. Hii ilimpa uhuru Bradley kutembea pembeni kwa uhuru na ubora wake ulionekana.

Ubora wa trent upo offensively hii inverted RB kwa trent ndio inatupunguzia kasi sana hasa timu ikiamua kukaa nyuma.

YNWA
 
Yani unawazo tutarudi huko?
Ikiwa hivyo ni Bora kuliko kubaki nae hafu tuishie kutapika tu tupo kaa vifaranga Kila siku labda msimu huu

Ni maoni tu lakini

Sijui kwa nini siwazi kama tutarudi huko,naweza kuwa miongoni mwa wachache kwenye wengi.

We will be there still, labda wamlete Gerrard.

Ikiwa watamchukua

Alonso
El cholo bado tutakuwa huko juu

YNWA
 
Salah uarabuni

TAA ,VVD wanasubiri mustakabali wajue kocha gan anakuja

Kifupi mnaenda kuwa kama manjesta ya ETH[emoji1787][emoji1787]

  • TAA huenda isiwe issue kihivyo kwasababu hata sasa wengi hatukubaliani na uchezaji wake wa poor defending.
  • Salah na VVD ndiyo itakuwa challenge kwetu
 
Sisi gunners aka wababe wa hii ligi tunawapa ofa. Akirejea Salah, ombeni mechi irudiwe muone tutakachowafanya. This time hazitapungua 5
 
Sijui kwa nini siwazi kama tutarudi huko,naweza kuwa miongoni mwa wachache kwenye wengi.

We will be there still, labda wamlete Gerrard.

Ikiwa watamchukua

Alonso
El cholo bado tutakuwa huko juu

YNWA
For sure, I'm optimistic that Xabi won't turn down our offer, he's molding Leverkusen into a unique club with a Klopp like essence. Xabi embodies attributes similar to Klopp.
 
For sure, I'm optimistic that Xabi won't turn down our offer, he's molding Leverkusen into a unique club with a Klopp like essence. Xabi embodies attributes similar to Klopp.
Kwa maneno ninayosoma juu ya Alonso. Anaonekana ni bonge la kocha mixer ya kina Klopp na Pep. Atawafaa na atachangamsha EPL
 
Sisi gunners aka wababe wa hii ligi tunawapa ofa. Akirejea Salah, ombeni mechi irudiwe muone tutakachowafanya. This time hazitapungua 5

Dah! Hii misimu miwili mumekuwa na jeuri sana juu yetu lakini muna haki ya kutamba kwa kweli.

Out of 12 points mumekusanya 8 while sisi tumekusanya 2 tu.

Hizi moments huwa si za kudumu hivyo munapozipata kirahisi kama hivi munapaswa kutamba sana kwasababu muda wowote zinaweza kukatika hizi moments na kurudi kwenye default mode.

Kutoa sare back to back ndani ya Anfield ni jambo la kujivunia.

Na kuchukua Points 6 dhidi ya Liverpool back to back pale Emirates ni jambo la kujivunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…