Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Hivi upewe Alonso na El Cholo utamchagua nani?Alonso ameonyesha ubora kwa Sasa hao wengine ni mpaka atukatae yeye
Leta damu changa Alonso. Simeone ni old news. Tutamuua tu mzee wa watu.Hivi upewe Alonso na El Cholo utamchagua nani?
Binafsi El Cholo any day of the week.
El Cholo na zile tai zake kama mkanda haha...
Bring El Cholo now now tumalize haya maneno
YNWA
Ndiye mwenye kipindi hicho nilikuwa napenda kumwita Ndanda Cosovo kutoka na style zake za nywele kama mwanamuziki wa Wajelajela Original.
Hivi upewe Alonso na El Cholo utamchagua nani?
Binafsi El Cholo any day of the week.
El Cholo na zile tai zake kama mkanda haha...
Bring El Cholo now now tumalize haya maneno
YNWA
Bielsa sometimes overrated sana..Napenda amsha amsha zake kwenye touchline, that man is very Funny. Sema mpira una ukatili wake. Wangepata heavy investment angeyabeba sana bahati mbaya hakuwa kwenye timu yenye pesa na ameshindana na wenye pesa.
Funny thing Cholo na Pep mwl wao ni M. Biesla. Bielsa anamuita Cholo shetani mweusi na Pep Shetani mweupe kwa aina ya soka lao.
Bielsa sometimes overrated sana..
Mourinho alikuwa msaidizi wa Bobby Robson huku Pep na Enrique wanacheza... rarely husikii Bobby Robson alivyo wa Influence hawa kina Pep, Mourinho na Enrique
Hakika Mimi ni Alonso tu natamani hata Leo atangazweHivi upewe Alonso na El Cholo utamchagua nani?
Binafsi El Cholo any day of the week.
El Cholo na zile tai zake kama mkanda haha...
Bring El Cholo now now tumalize haya maneno
YNWA
Wanangu Burnley nipigieni hawa ili nao wapoteze angalau mechi 3 msimu huu
Tunayo tamani ushindi usio na jasho tutaomba apone taaaratiiibu awape nafasi wanaojituma[emoji599] Klopp on Trent Alexander-Arnold out at half time: “He felt pain in same area, in the left knee”.
“Nothing really bad, but he felt it again, and we have to see. We will assess it. We had to be careful and take him off”.
Jamaa anajua ila anakimavi asa goli Gani lile la kukosa?Saint Anne unaona lakini kinachoendelea kwa Darwin Matattoo?View attachment 2899971
Yupo vizuriSaint Anne unaona lakini kinachoendelea kwa Darwin Matattoo?View attachment 2899971