Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Halafu huyu thiago anafanya nini pale?Kaka kwani hii ni sawa na siasa za vyama au ndoto za wana jf?
Acha klopp aamue tu ….. yatosha
Mtu kakanyagwa vibaya sana, Yan ck hiz VAR inafanya Kazi upande wa kutuua tuFitness ya wachezaji wa liverpool ipo chini sana aiseee........au kocha wa viungo au madaktari kuna mtu hafanyi kazi yake vizuri...look at all those player injured.....dah
Thiago sio kikosi cha kwanza
Ile ni kama golf cart tu…. Kwake shambani
UongoooooThiago ni kikosi cha kwanza.
Kabla ya hizi injuries za muda mrefu alikuwa ni starter sio Mchezaji wa hakiba.
Uongooooo
Panga alipokua fit alikua namba ipi
Uongooooo
Panga alipokua fit alikua namba ipi
Weeee kwanini?? Haha refa yuko veryyy fair. Mlipiga makofi la chelsea kukataliwa? Lenu ndio refa yuko unfair?Very unfair refereeing