Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mwamba umeandika mambo mengi mnoo

Jifunze kuandika kwa ufupi

Yakiwa marefu yawe na maana
 
Natumai itakua mawazi tu ila hawezi kuongeza muda
Mipango inayo indelea nje ya uwanja halimhusu Klopp tena amesha sema nguvu ya ziada hana nitashangaa sana akibaki.
Natamani mabadiliko na muda ndo huu.
 
Kipara anaweza hamishia huko mashambulizi yake pia huenda asianze
Natamani awepo mtu wakumnyima Raha Rodri
 
Kipara anaweza hamishia huko mashambulizi yake pia huenda asianze
Natamani awepo mtu wakumnyima Raha Rodri
Kipara ni mvumilivu sana aisee hii ndio kete yake kuu pasi zitapigika kushoto kulia nyuma kati mpaka wapate upenyo cha kufanya kwetu ni kuhakikisha channel zipo covered, kutopoteza mpira hovyo, 1st break kwa kua kipara ni muumini wa high line defence na kuhakikisa Foden hapati kutembea na mpira around 18 area,.. Ni ngumu sana kuwazima Citizens lakini lazima tujaribu kucheza mpira wetu... Hatupo vizuri sana defence maana kila mechi tumeruhusu goli hivyo ni kua compact kutoruhus magoli mengi...
Pazuri ni kwamba zaidi ya asilimia 30 ya magoli yetu tumefunga baada ya 75 tena mengi yakiffungwo na subs hivyo inakupa picha kamili kwamba tupo mchezoni mpaka dakika ya mwisho...
Bradley ni msumbufu hapitiki kurahisi wala hana uoga kabisa kwa kua ana mission kuipata ile namba ya Trent ili Trent asepe zake MF...
Defence leo Konate wanamtazama kama jeraha lake sio serious otherwise kilaka Gomez yupo stand by kucheza CBR..
Hivyo kikosi sio dhaifu sanaaa kwa leo na vijana wapo tayari sana..
Kelleher
Bradley Gomez/Konate VVD Robbo
Domy Endo Macca
Salah Nunez Diaz

Au kama Nunez na Dommy sio full fitness watatokea sub ni kikosi kitakua
Kelleher
Bradley Gomez VVD Robbo
Elliot Endo Macca
Salah Gapko Diaz

Au kama Salah sio full fitness atatokea sub

Kelleher
Bradley Gomez VVD Roboo
Elliot Endo Macca
Gapko Nunez Diaz

Well we are ready, huu msimu bado sana jana ganaz yamewakuta yale tuliopata kule Nottingham Forest hivyo inawezekana tu timu isiyotegemea ndio ikaja kwamisha hizi mbio. Cha msingi kila mmoja ashinde mechi zake.

YNWA
 
Kmmmmk, yaani Pain Killer wewe ni wa 1996? Daah, kumbe nilikuwa naheshimu katoto kakuzaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…