Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
😂 😂 😂 Hamna bhana.... Hawa ma bwana walimzidi kete Edwards kwa Lyod Kelly akatua Bournemouth baada ya hapo Edwards akavutiwa sana kwani ilikua nadra sana Edwards azidiwe mbinu sokoni kuvutia wachezaji especially hawa ma yanki.Bournemouth chief scout Mark Burchill is set to follow Richard Hughes to Liverpool.
[@_pauljoyce]
Captain Marvelous hivi ni kweli combo Mark Burchil na Richard Hughes ndio iling'amua Uwezo wa Harvey Elliot,Alisson,Van Dijk etc sema hawakuwa na muscle za kuwanunua ndio wakampa hizo idea Michael Edward ?
Atue Ruben Amorim tufunge huu mjadala.Although Richard Hughes won’t start until the end of the season, he’ll still lead on replacing Jurgen Klopp before then.
Bournemouth aware of this and it’s agreed between the clubs. All parties fully transparent.
Xabi Alonso, Ruben Amorim and Roberto De Zerbi all candidates.🔴
Hizo za Liverpool zaidi ya asilimia 30 hua ni jezi za Salah. Dogo mauzo sana.◼ Klabu 5 zinazo ongoza kwa mauzo ya jezi barani Ulaya kwa mujibu wa Chama cha mpira wa Ulaya UEFA inaonesha FC Barcelona anaongoza pale Spain 🇪🇸 akiwapiku wapinzani wao Real Madrid
Pale Germany 🇩🇪 ni Bayern Munich pekee alie jitokeza ndani ya Orodha hio na kuwa kinara wa taifa , Pale England 🇬🇧 Niwakongwe wa mpira wa taifa hilo waki chuana huku Liverpool akiwa kinara Mbele ya Manchester United
◽Kama klabu yako haipo top 5 angalia namba 6 Kushuka chini 😁
One football
Burchill would become new Liverpool sporting director Richard Hughes’ first appointment, joining an already well-established recruitment team of chief scout Barry Hunter and head of recruitment Dave Fallows.Itakua MosDef yupo kwa Barry Hunter anapambana kusaka data za kocha mpya 😂😂🤞🤞
YNWA
[emoji837] Real Madrid are monitoring Trent Alexander-Arnold’s contract situation at Liverpool. The full-back's deal at Anfield expires in 2025.[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid are keeping close eye to Trent Alexander-Arnold’s situation [emoji836]️[emoji1022]
Alexander-Arnold’s contract expires in June 2025 and Real are one of many European top clubs following the situation closely, as they always do with top players.
There are currently no talks underway over new deal, Klopp’s departure and leadership changes at Liverpool led to situation where European top clubs believe they can have a chance to sign Trent already this summer.
Alexander-Arnold has played multiple positions for club and England in the recent years, adding to his value.
[emoji779]️ Liverpool have not indicated any desire to sell the player at this stage, despite unprecedented contract situation for player who has over 300 apps for them.
There’s also no indication of Alexander-Arnold’s view…
…but Real Madrid are among top clubs following the situation closely in case new deal won’t be agreed.
Fabrizio Romano
kabisa Mkuu,mwamba atatufaa.Atue Ruben Amorim tufunge huu mjadala.
YNWA
Aende wapi?? Mkuu hatuwezi kuuza World Class player kizembe zembe hivyo, It takes time ku-replace mchezaji ambaye tayari ni World class player.Huyu TAA aende tu
hawezi kuondoka wanapoteza muda tu.Huyu TAA aende tu
🏃🏃🏃🏃Standard 7 mkichikichiniDogo we si graduate? Mbona una utoto mwingi mbele za watu hata kama ni anonymous???🤣🤣🤣
Stop fooling your self
Alafu Ndumbaro Damas anakamata Watanzania wote mpaka mtandaoni mnaovaa jezi za Masandawana. 😂😂😂🏃🏃🏃🏃Standard 7 mkichikichini
I agree, it would be a huge mistake to sell TAA. He's one of the best right-backs in the world, and he's still only 25 years old. He could be a Liverpool player for many years to come.Aende wapi?? Mkuu hatuwezi kuuza World Class player kizembe zembe hivyo, It takes time ku-replace mchezaji ambaye tayari ni World class player.