Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naziogopa sana siku hizo

Sitamani hata zifike
Chini ya Edwards tuko salama ndugu..
Kimsingi huyu Edwards ingefaa tu apewe hisa pale FSG ili azidi kuwapa ma Yankees amani maana jamaa ni genius sana hua hana papara na kila mchezaji anaemfuatalia hua ana back up plan ya mchezaji wa kwanza ikishidikana ana wa pili nae ikishidikana kuna wa tatu.. Huyu mwamba bila yeye Klopp wala asingefikia alipo klabuni, set up ya kuchakata data aliasisi na kuifanya kua bora Ulaya kiasi hata Barcelona na Real Madrid walishamtupia jicho kumhitaji bwana mdogo lakin alikomaa hapana na leo hii huyu hapa Anfield, odoa shaka kaka tupo katika mikono salama.

YNWA
 
kwa kuwa umeongea wewe, ngoja nitulie nione itakavyokuwa
 
Xabi Alonso: “My job at Bayer is not over. I want to help the club, help the players to develop, the board is great… it’s all fantastic here”.

“I’m still young coach but I think this is the best decision for my future. I took my time and I’m sure about that”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…