Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp anavyorusha mikono huko nje
Ukweli ni kwamba tapeli 7Hag alishamjulia Klopp.
 
Salah ni fundi. DadeqπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ”₯πŸ”₯
Ona alivyopigaπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 

Sikososi usajili wa huyu Kocha iwapo Uongozi utaamua kumchukua kwasababu siwezi kujua future events kama atafanikiwa au hatafanikiwa lakini to be honest mpaka sasa sijajua kwanini amekuwa Highly rated huyu Kocha.
Hakuna kipimo chochote cha mafanikio alichonacho kwasabau hajawahi kuwa Kocha wa mafanikio kwenye Ligi yoyote kati ya 5 big Leagues (EPL, Serie A, La Liga, Bundesliga and Leagu 1).

Bado nina kumbukumbu nzuri sana za Adre Villas Boas alipofanikiwa kule Ureno akiwa na Matakwimu ya kutisha kama Amorim Chelsea wakaingia kichwakichwa wakamchukua akaishia kutaka kuwashusha daraja.

But iwapo atachukuliwa nitaweka matumaini juu yake na naamini anaweza kufanikiwa iwapo tutampa muda kama tulivyompa Klopp wa kujenga Timu (3 Years) na akawa financially supported kutoka kwa Litajiri letu.
 
Mbona mapema? Si ulikuwa unamuimbia mapambio wewe hatimae unakubali kama ukipa si kudaka mipira ya rede.
Nampenda sana Kelleher ila juzi amezingua
Goli la kwanza ameiga ujinga wa Allison kutoka sana Golini.

Goli la kwanza lawama kwake, na kwa yule aliyempasia Bruno Mpira,,sijui ni Quansah yule Dah!

Goli la 2 upumbavu wa Kelleher kutokukadiria ule mpira.
 
Yale magoli makipa wa kuzuia duniani wako wanne tu. De Gea, Lloris, Ramsdale na Raya. Utagundua wawili kati yao wako Arsenal.

Hata hivyo, lile goli la pili, yule Kobe Mauno alikuwa amezingirwa na mabeki wenu wa kutosha kabisa kumzuia asipige ule mpira ila walibaki wanamshangaa tu.
 
unachoumia kitu Gani Stev Gerrad kawah mpasia pasi Drogba makusdi kabisa 2009/10 ili United akose ubigwa iyo laana hawezi kufutika na yey akaja kuteleza Demba ba akafunga tena kipind anahitj ubigwa juzi naye dogo kajichanganya katoa boko
 
Yale yale, three years za kusubiri ajenge timu ili achukue ligi moja kwa miaka 8 atayokaa kama Klopp

Anyway, pengine atatengeneza timu yenye consistency tofauti na timu za Klopp ambazo ni maji kupwa na maji kujaa kama akina Eric Ten hag na united yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…