Its was a disaster huyu bwana kutua Anfield. Keita na Thiago ni usajili uliofeli kwa Klopp.Thiago Alcantara has instructed his agent to find him a new club, sources have told Football Insider.
✍️@footyinsider247
Awaiting Amorim kwa mikono miwili kabisa. Young gaffer has Pep n Klopp in him, Edwards amalize haya maneno mapema sanaNi muda wa SPACE & TIME kwenye football, Klop bado yupo kwenye SPEED & ENERGY.
Im out of Energy. Accepted.
Aje Amorim, leta Technical director wa maana”,. Tubadili upepo.
YNWA.
Aaah Atalanta anafungika ila itategemea Nunez kaamka na gundu lenye ukali kiasi gani. Ila first half inatakiwa iishe tuna goal 2+Wana ndugu mnasema aje leo Atlanta kwamba tunarejesha bookies favourite kunyanyua kwapa Europa.
YNWA
Ningekuwa mimi ningemchukua TuchelNi muda wa SPACE & TIME kwenye football, Klop bado yupo kwenye SPEED & ENERGY.
Im out of Energy. Accepted.
Aje Amorim, leta Technical director wa maana”,. Tubadili upepo.
YNWA.
Tayari kimoko huko hawa leo watayaoga kama sio kunywaAaah Atalanta anafungika ila itategemea Nunez kaamka na gundu lenye ukali kiasi gani. Ila first half inatakiwa iishe tuna goal 2+
Timu kama hii livakuku inapaswa kubeba makombe makubwa makubwa na siyo hivi vi Karabao na community shield tuwaachie arse8 ndo kombe lao wanaloli admire😂😂😂Tuonyeshe wewe la kwako ulilopewa
Hata koroboi huna
Mwamba Scarmacca ana goli lake leoAtalanta shikilia hapo hapo
Salah! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye na kipa kapaisha mpiraImekuwaje huko mkuu