ππππTimu kama hii livakuku inapaswa kubeba makombe makubwa makubwa na siyo hivi vi Karabao na community shield tuwaachie arse8 ndo kombe lao wanaloli admireπππ
Zile goli 3 Anfield tulifungwa kizembe sana,zimetucostkwa kweli Mimi sijaona timu ambayo imefanikiwa kufanya Liverpool icheze very uncomfortable msimu huu kama Atalanta......yaani wametuvuruga u hezajinwetu Hadi basi
hii aina yao ya ukabaji need to be studied aisee.....yaan Leo kidogo tumejitahid kuunlock lakini napo ni mpak Salah abadilishane namba na gakpo mara gakpo acheze kule kwa Diaz yaan ni kero tupu
Klopp akikutana na low block basi hana kipya,Ni bora alivyo tangaza kuondoka tu, Hana jipya tena Klopp kila mechi yeye ni ONE TACTICS, ONE TACTICS habadiliki na hatakuja kubadilika huyo.
Tungefunga je sasa, na wakati Allison had more of the ball kuliko washambuliaji halafu utegemee ufunge goli.hii mechi hata tucheze Hadi keshokutwa hatuwezi kufunga.
Malizia hivi ;Carabao yenyewe waliifunga Chelsea mbovu.
Atalanta sidhani kama amecheza deep block naona kama walikuja na mbinu ya kukabia juu mashambulizi yanapoanzia ndo maana ulikuwa unaona Allison akiwa na mpira hakuwa na pa kuupeleka kwa sababu kulikuwa na watu watatu pale mbele Wanazuia asipate option ya kuanzisha mashambulizi ikawa inamlazimu apige mipira mirefu ambayo kwa bahati mbaya haikuwa na faida kwetuTungefunga je sasa, na wakati Allison had more of the ball kuliko washambuliaji halafu utegemee ufunge goli.
Tatizo ni KLOPP, Klopp akikutana na kocha anayecheza Deep/Low block huwa hawezi ku-coach defensive pattern za hizo team.
Leaving at a good time, Hope he takes Salah, Gapko ,Nunez ,Diaz ,Gravenberch, VVD with him.
bado hamjasemaAtalanta sidhani kama amecheza deep block naona kama walikuja na mbinu ya kukabia juu mashambulizi yanapoanzia ndo maana ulikuwa unaona Allison akiwa na mpira hakuwa na pa kuupeleka kwa sababu kulikuwa na watu watatu pale mbele Wanazuia asipate option ya kuanzisha mashambulizi ikawa inamlazimu apige mipira mirefu ambayo kwa bahati mbaya haikuwa na faida kwetu
We speak football sio ujinga ujinga Mkuu