Hata wasipoletaHuyu Salah waarabu wakileta hela ya maana tumuuze tu.
Mtu anayemsimanga klopp hajitambuiNyie majogoo mnamsimanga sana Klop wakati wote mnajua ambavyo aliwatoa matopeni, miaka ile baada ya kuondoka Benitez mlipoteana kwelikweli.
Huyu Klop ndio amewarudisha mjini, lakini mnamsimanga sana. Ama kweli shabiki hana shukrani.
Ukitoa Arsenal, Liverpool ndio timu ambayo kidogo huwa naipenda huko Ulaya. Hii ni kwa sababu home kwetu wote ni Liver kuanzia mzee kasoro mimi.
Ila nawakumbusha Klop akiondoka nawaona mkirudi tena matopeni, sisi ndio tumerudi mjini hivyo.
Nimesema Klopp nikimaanisha Kipara...Asanteni nyie kuku kwa kumpiga yule kuku mwenzenu. Naona mmeamua tena kurudi kujiunga nasi katika kupambana na Klopp. Sijui mtakuwa mmechelewa...lakini twendeni tu hivyo hivyo. Lolote laweza kutokea kwenye hii ligi.
Huyu Salah waarabu wakileta hela ya maana tumuuze tu.
Liverpool tumetia aibu sana kwa msimu huu,kushindwa kumfunga Nyumbu imekua ni fedheha kubwa sanaaa.
Nyumbu msimu huu ni Mbovu na ilitakiwa kushiriki Championship. Wamefungwa michezo 13 na Wana negative 3 GD. Na hiyo ndio miongoni mwa timu zilizotunyima Ubingwa msimu huu..Michezo yote miwili
Ni bora kufungwa mechi 1 kuliko kutoa sare mechi 2...ki ukweli Klopp amekua na sare nyingi sana pale anapomfukuzia Kipara... Sare ndio hua zinamwangusha na sio vipigo.Liverpool tumetia aibu sana kwa msimu huu,kushindwa kumfunga Nyumbu imekua ni fedheha kubwa sanaaa.
Nyumbu msimu huu ni Mbovu na ilitakiwa kushiriki Championship. Wamefungwa michezo 13 na Wana negative 3 GD. Na hiyo ndio miongoni mwa timu zilizotunyima Ubingwa msimu huu..Michezo yote miwili
Klopp mbinu zimesiha full stopNi bora kufungwa mechi 1 kuliko kutoa sare mechi 2...ki ukweli Klopp amekua na sare nyingi sana pale anapomfukuzia Kipara... Sare ndio hua zinamwangusha na sio vipigo.
YNWA
'High' ya kijiti kimoja cha bangi ya Liverpool itakuwa ni mara tano zaidi ya 'highs' za vijiti vitano vya bangi za miji mingine pale Uingereza.Jurgen Klopp:
“When you win one time with Liverpool, it is as worth as winning five times with another club.”
Edwards anajikuta jasusi mwenyewe. Ngoja msimu ujao uanze apokee vipigo ndiyo ajue hajui.
😂😂😂Edwards anajikuta jasusi mwenyewe. Ngoja msimu ujao uanze apokee vipigo ndiyo ajue hajui.