nawasubiria hao na madrid hapo super cup. maana Atalanta sio kwa ukabaji huo halafu wachezaji wana mihili mikubwa.Hawa Atalanta na ukabaji wao siyo wa kawaida aisee .......Jana kimemkuta kitu xabi Alonso yaan wao mwanzo mwisho ni man to manView attachment 2997284
I wouldn’t start on a bang😂 😂 😂 😂
Nikipewa 200 m pound za usajili pale Liverpool
Nachukua 90m nawapa Newcastle wanipe Bruno Guimares,then nawapa Sporting £45m wanipe Goncalo Ignacio.
Then iliyobakia natoa £70m kwa Kudus Nimemaliza.
Wewe je?
Captain Marvelous
Ladder 49
The MoNA
King Ngwaba
TIMING
Saint Anne
Scumbags nao wanongea?Livakuku na nyie munatafuta kocha kijana kama sisi Chelsea ambaye rasmi tutakuwa mid table team??!
We kuandika Kiswahili fasaha tu hujui halafu unatamba na wewe ni mjanja. Jukwaa lako ni Chitchat na Kimasihara tu. Humu unajiabisha na kujivua nguo tuLivakuku na nyie munatafuta kocha kijana kama sisi Chelsea ambaye rasmi tutakuwa mid table team??!
Anahangaika sana huyo Kila siku🤣🤣🤣🤣We kuandika Kiswahili fasaha tu hujui halafu unatamba na wewe ni mjanja. Jukwaa lako ni Chitchat na Kimasihara tu. Humu unajiabisha na kujivua nguo tu