Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alexis Mac Allister has offered details on the tactical ideas Arne Slot is looking to imprint on his Liverpool side.

A second-half performance full of quality and intensity at Ipswich Town last weekend meant the Reds began their 2024-25 Premier League season with a 2-0 victory.
And Mac Allister is confident the subtle tweaks introduced by the head coach can lead to a successful campaign for the team.

The No.10 told Viaplay: "I think this manager asks more to stay in the position, and that's maybe like a different structure.
"But the principles are the same. We know that defensively we have to run, we have to give our 100 per cent, the last two steps are so important and that can make the difference.
"There is a couple of changes, not much, but I think Arne can help us to be a better team."
Liverpool were much improved after the interval at Portman Road on Saturday lunchtime, with Diogo Jota and Mohamed Salah providing the goals that secured the win.
In his post-match assessment, Slot put the Reds' improvement in the second period down to the winning of more duels and better exploiting of the space in behind Ipswich's back line.

"I think it was more about the last step when we were pressing," Mac Allister analysed. "Maybe [in the] first half we were not at 100 per cent but in the second half we showed the team we can be and we are really happy with our second-half performance.
"It was good to start with a win – it's always important. We know that we came to a tough place.
"You could see how excited they [Ipswich] were to play football, to play in the Premier League again. It was a nice game for both. I think they showed good things as well.
"But the important thing is that we got the three points."
 
Huyu atakua jobless sio bure aache kupotosha tena akiwa guru wa utafiti na data...
Lipo wazi mishahara na malupulupu inatafuna zaidi mapato ya timu kuliko kusajili wachezaji wapya lakini ameacha kusema jambo muhimu kwamba ukiwa na kikosi kamili na kocha safi inakuongezea nafasi ya kushinda makombe yenye ela na yenye kuvutia wawekezaji upande wa matangazo na uuzaji wa jez nk..
Kimsingi bila usajili makini ni kumbebesha lawama kocha maana anapewa kikosi ambapo ni cha middle of the table aafu anaambiwa tupe ubingwa...
Kulikua na haja gani kuwabakiza wachezaji mizigo klabuni kama wakitafuna mishahara minono huku FSG wakishindwa kusajili wachezaji kwa kua payroll inazidiwa.. Huu ni usanii..
Kwanza Liverpool hawa wachezaji wengi wapya huanza ni mishahara kati ya 75k mpaka 150k hivyo hizi bla bla za kuwatetea FSG hazina mashiko.
Jenga kikosi cha ushindi na watafidi mapesa kama yote ya wadhamini na ushindi lakini kikosi cha kusidikiza atapewa kocha lawama kila kukicha.
Slot kaanza vyema calling a spade a spade anataka kazi kazi ashikilie hapo hapo maana hawa wachezaji walizoea kua pampered na Klopp.

YNWA
 
Muache Klopp kaka, ni wachezaji wangapi aliwataka na FSG kumkwamisha?

Usajili ni chanzo mojawapo kilichomkwamisha Klopp

Nitamlaumu Klopp siku zote kwa kuwang’ang’ania Henderson, Milner, Na injury prones Thiago, Keita, Ox and Matip.
Hakuna mahali nimekataa Klopp hakuungwa mkono ipasavyo na FSG ila kuwang’ang’ania hao wachezaji for long ilikuwa ni kujipalia mkaa, na FSG wali enjoy hiyo situation, sidhani kama FSG walimng’ang’aniza kuwa nao.

Haitaondoa ukweli kuna mambo alijisababishia mwenyewe as a coach na kuna mambo alisababishiwa huu ndio ukweli, lipi lilikuwa kubwa kuliko lingine ni wewe mwenyewe upime.

Hakuna mahali nimekataa Klopp he is the best to us, kwa alipotukuta na alipotuacha, he will always be remembered.
 
Hii timu itanifanya niache kuishabikia kama msimu huu haitopata top 4 Sababu ni kujitakia aisee timu inaanza msimu bila usajili kama wao ndio mabingwa mfulilizo mara 4 siku zote timu likiwa na mijezi mibaya basi uwanjani ikiwashe
 
Ian ndio alikua supremo kitengo cha data pale Liverpool miaka yote ya Klopp I guess.
I
Nunez na Firmino ni wachezaji wawili tofauti kabisa na kama walisajili iwe like for like bila kubadili mfumo then walikua wanategemea miujiza.

YNWA

Dr. Ian Graham alikuja pale toka 2013 ndipo alianza maisha na Liverpool.

Of course yes Nunez na Bobby ni two different players in term of style of playing, calmness, composure yake na jinsi anaweza kujimiliki.

Kwa mujibu Graham ni kama kulikuwa na mvutano hivi kuna wa Nunez na Martinez ila mwisho wakaamua kwa Nunez, ni chaguo sahihi sana kama tu kulikuwa na idea ya kubadili mfumo kwa ajili ya kupata ubora wa Nunez ili kuisaidia timu. Kwa idea ya Nunez kucheza kama Bobby ni ngumu sana let Pastor Bobby be Bobby, Salah & Mane enjoyed having this dude. Kama City kutoka kwa Aguero to Halaand ilibidi tu Pep abadilike kidogo kwa ajili yake, and it paid him, kwa Nunez it was about himself not a coach issue.

Finishing mbovu ya Nunez ndio imefanya ionekane kama it was a wrong move, binafsi it was a right move, he has that quality for sure.
 

Liverpool is more than a Club is a family, what do you expect?? Walibebana kifamilia zaidi ya kibiashara.

Thiago alikuwa anakula 250k per week
Keita alikuwa anavuta 140k per week
Alex Oxlade Chamberlain 120k per week
Sum of 410k per week ilikuwa inaliwa na wachezaji ambao kwa mwezi hawakupi 5 games each.

Kwa mshahara huo tungepata atleast 3 reliable players with qualities watakaokupa atleast 30 games per season. Sasa uchakataji data huu mdogo tu wao as Dr. & Engineer of data hawakuona hili.

Hapo haujamuweka Matip, kina Adrian ambao kulikuwa na uwezekano wa kuachwa na kutafuta academic GK wa kuchukua nafasi yake. Andrian alikuwa anapokea 76k per week, ambapo mara ya mwisho kuonekana uwanjani under LFC jersey was 2020/2021 kwa mechi kama 9 tu hivi,.

Yaani ilibidi mpaka tuwe unga sana sana ndipo maamuzi magumu yakafanyika.

-Liverpool its more than a club its a family.

-Spirity of Shankly

-Untill we see the right players with a good offer on the table.

-Top reds

-We cant sign just because others are signing.

Its a Never ending cycle.

YNWA
UP REDS
 
Kwa nini kocha Arne Slot, amemfundisha Robertson kukimbia nyuma ya van dijk kwenye nafasi ambazo Allison anaweza kufanya kazi hiyo amemfundisha Robertson ina faida gani anaiona pale kwa timu yake?


 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Raheem Sterling and Ben Chilwell are 𝐎𝐔𝐓 of Chelsea squad and project! 🔵🚷

Enzo Maresca confirms: “Sterling and Ben are training apart from first team. I just try to be honest with them”.

“I told Raheem he’s going to struggle to get minutes, here with us. Chilly, he’s going to struggle here too”.

“I am not saying Raheem is not a good player, not at all… but I prefer different kinds of wingers, simple”.
 
Kwa nini kocha Arne Slot, amemfundisha Robertson kukimbia nyuma ya van dijk kwenye nafasi ambazo Allison anaweza kufanya kazi hiyo amemfundisha Robertson ina faida gani anaiona pale kwa timu yake?
View attachment 3075768

View attachment 3075769

Slot hutumia CBs na kumuongeza GK kwenye build up, maana yake anaongeza mtu extra kwenye build up ambaye ni GK hii ametumia De zerbi, Pep, Arteta na makocha wengi wa possession football.


Hii ni mechi ya Ipswich ambacho Konate Beckor na Vvd walitumika kuanza mashambulizi, ila hili la Robbo kucheza nyuma ya CB binafsi sijalishuhudia sana, ila ni sehemu tu ya movements za LB & RB timu ikifanya build up.
Hii ndio set up yake, badala ya kuutanua uwanja mzima anatanua kwa upande mmoja na upande wa pili kubana, kutegemea na movements ya mpira na opponents wanavyokuja kukaba.

Kwa mf. Kwenye hii Pic. Trent alikuwa ametanua maana yake Robbo kule juu hatatanua sana atakuwa karibu na CB ili kupunguza gap kati ya yeye na Kiungo (Macca/Graven). Anasogea chini kidogo na ndani kidogo.

Sasa nimetoka kuangalia Clip ya Carragher na Neville, kuhusu hili. Wao kama wachambuzi wanaona ni bora Trent atanue na Robbo atanue,. Which is not health kwa build up anayotaka Slot.
Kumbuka Slot ni possession coach mana yake anataka wachezaji wakae karibu karibu kupigiana pasi fupi na kutumia nafasi kwa wakati sahihi.

Mpira wa Possession unahitaji SPACES & TIME, ukiutanua sana uwanja hapo upo tayari kwa kutumia mipira mirefu na counters kwa asilimia kubwa, kwa possession huwezi kwa kutawanya wachezaji uwanja wote.

Hao Sky Sport hiyo video wamezingua maana wametumia freeze explanation tu, bila video kutembea inakuwa ngumue kuelewa imetokea hivyo kwa sababu gani.

YNWA
 
Weee jamaa huwa nakuelewa sana
 
We are doomed mate... Simpo as ABC ni sell, sign, retain where necessary bila kuangaliana usoni... Imagine Klopp alitaka Kieta, Matip wabakie klabuni yaani 2 injury prone dudes wanashikilia nafasi na wages za wengine wapya if necessary...
Shankly spirit is lost kwa hawa FSG maana Shankly aliamini nguzo moja tu na ambayo ni.... Wa kwanza ni wa kwanza tu wengine hamna 'kitu'... 1st is 1st second 3rd etc is nothing...
Kwa sasa FSG wanapambana na kikosi cha champions league wakisubiri muujiza wa Slot maana ku challenge Mansour oil powered machine ya Pep need a proper team sio mediocre one like ours for now....

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…