View attachment 3083489
@DefMos unaizungumzia vipi hii?
Tatizo liko wapi?
What i Wish ni mafanikio tu ya Slot.
Let Slot lose the battle and win the war. Sasa hivi kuna battle kubwa sana kati ya SLOT’s fans & Klopp’s fans.
But nipo neutral kuhusu hii debate. Kama debate ya Nunez vs Gakpo ilivyokuwa ya moto last season. Wanaosema Klopp alikuwa tatizo kwenye sajili za LFC wana hoja na ambao wanasema hakua tatizo ana hoja. Wengi wanamuhukumua Klopp kwa sababu ya interviews zake alipoulizwa kuhusu signings alikuwa anajibu “until we get the right player with the affordable price”. But behind the scene FSG walikuwa wakiminya sana huu ndio ukweli. Swali langu lipo hapa “Nani alikuwa na maamuzi juu ya kuondoka kwa wachezaji”?? If it was Klopp kwa nini alikubali kubaki na injury prone wengi vile?? Hapa ni ngumu kumshawishi boss akuongeze wachezaji ila unakubali kubaki na waliopo. Thiago, Ox, Keita, Matip. Yes Keita, Thiago and Matip i cant ignore their qualities but they were injury prone wanaweza kukusaidia vipi?? You better get rid of them ili upewe wengine.
Hapa unaweza kusema labda hawakuwa na mpango wa kumwongezea wachezaji akaamua kuwabakiza, but hakuona its a risk kuendelea na waty hauwezi kuwatumia?? Aaah.!!! Inachosha kufikiri haya.
Kama sio Klopp alikuwa na maamuzi haya je nani alikuwa behind kuheld injury prones season in season out?? Ngumu kujibika.
Ila Klopp selection zake kama angepewa hopefully how could have won more major trophies than those he had won.
Again Slot huyu hapo,
Earlier alipokuja alisema atashangaa kama hatutasajili na point yake ililenga kwenye DM, thats why he opted kuwatumia Endo na Baj hata pre season akiamini they are not good enough kwenye system yake. Endo sio mbaya apart from his age, but Slot system yake inahitaji kucheza na tight spaces too. Possession football demandind that too.
Niliona mazoezi ya jana kwenye Rondo (safa bwege) imechorwa square ya wachezaji kama sita au saba hivi, wawili wanafukuza mpira ndani ya box la wachezaji halafu Graven anakaa katikati ya kusaidia hawa wachezaji waliotengeneza square… it was a small spaces ambapo unahitaji quality player kucheza vipasi vifupi vya haraka zaidi, na viwe quality. Kwa Endo ni ngumu sana ndani ya system hii. He can play but to give you that quality ndio mtihani. He struggled ile game ya kwanza vs Betis ya Preseason na hapo hakuanza mechi yoyote ile.
Thats why Slot demanded DM kwa nguvu zote ila hakupewa, good coach kwenye situation kama huu ndipo ubora unapimwa sasa. Do you have plan B, hapo lazima uassume DM wako wamepata long term injury katikati ya msimu, how could you shape you team, utabadilika vipi kwa aina ya wachezaji ulionao??
Jones, Graven, Endo na Morton ndio watatuvusha.
Bado ninaamini Edward ni mzuri sana katika biashara ya mpira, naweza kubaki peke yangu humu kuamini Edward will suit FSG policy successfully with his Co.