Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
nasikia kelele kibanda cha jirani kuna nini
Manjesta anabatizwa kwa moto hukoππnasikia kelele kibanda cha jirani kuna nini
Mpaka dk hii
Na ujue msimu huu Mimi sijaruhusu goliMpaka dk hii
Michezo 11
Liverpool goal 30
Nyumbu 6
Kuna mtu kapigwa 3 mkuunasikia kelele kibanda cha jirani kuna nini
Kumbe na wewe ni familia?Na ujue msimu huu Mimi sijaruhusu goli
Yeah brother Hawa wanetu hawatoki salama Leo hapo kwao nawabatiza ubatizo wa moto π π πVincenzo Jr still game on πππ
Yeah since 2007 brotherKumbe na wewe ni familia?
YNWA
π€ Timu bora dunianiYeah since 2007 brother
Kabisa kakaπ€ Timu bora duniani
aisee nimesika tu diazzz waoh fantastic ni nani huyoKuna mtu kapigwa 3 mkuu