Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Unaangalia mpira mzee wanguKonate my MOTM, has top top outstanding performance, top top quality passes.
YNWA
Kaende zakeAmekuwa mchoyo wa pasi ili afunge zingekuwa zimesha fika goli 5 ila sasa kawa selfish
Mpenzi unaniaibisha haya mambo unaniambia dmAisee
Jamani
Ajitolee mtu aninunulie hii jezi jamani🔥🔥🔥🔥
Ikiwa #66 itapendeza zaidi
Unatoa mi assit tu kama TAA
Alafu kocha amesha muogopa kuwa akimfanyia sub atanuna? [emoji23]Kaende zake
Nshakachoka mimi
EehAlafu kocha amesha muogopa kuwa akimfanyia sub atanuna? [emoji23]
Dah😂😂😂Mpenzi unaniaibisha haya mambo unaniambia dm
Unataka Og from Liverpool isn't it
Msort Miss Liverpool kasema hata ya Nunez fresh kabis...Unatoa mi assit tu kama TAA
Noma sana wewe 😂😂👌
🤣🤣🤣🤣Guy for the headlines sio... No easy taps but getting em the hard way....My boy Darwin only scores bangers not tap ins
Guy settling well with the media...[emoji599][emoji633] Liverpool manager Arne Slot: “There is no point talking about Zubimendi anymore because he stayed with Real Sociedad”.
“Also, we've moved on and we are really happy with Ryan Gravenberch”.
Salah is Salah atakaemshangaa arejee mechi za tangu 2018 mpaka Mane anaodoka ajabu pamoja na hup ubinafsi anaongoza kwa ma assit pale mbele... Just like Messi or Ronaldo ndio ivyo kwa Salah ni RW mfungaji nadhani hua tunasahau hilo sana...Mnaomsema Salah
Ni kwamba hamuoni assist ambazo huwa anatoa,na wenzie Kwa uzembe huwa wanapoteza mipira kizembe tu
Ni mara ngapi Salah anatoa pass halafu wanaenda kupaisha?
Mtulie hivyohivyo...
Hakuna mchezaji ambaye siyo mbinafsi.
Hata huyo ManeSalah is Salah atakaemshangaa arejee mechi za tangu 2018 mpaka Mane anaodoka ajabu pamoja na hup ubinafsi anaongeza kwa ma assit pale mbele... Just like Messi or Ronaldo ndio ivyo kwa Salah ni RW mfungaji nadhani hua tunasahau hilo sana...
As long jana tumeshinda no ishu ya ubinafsi aidha kwa Salah au Diaz...
Next game Jumatano vs Westham Carabao...
YNWA
😝😝😝🔥🔥🔥🔥Namba 9 wa ukweli.. Jana well nilivutiwa zaidi na Chiesa na Jones hakika kama ndio maelekezo ya Mwalimu basi huyu Slot ana jambo aisee.Jana Nunez kafunga
Leo kazi tunayo kutoka Kwa kakaMtu
Utadhani amefunga pekeyake yaani
Hata huyo ManeSalah is Salah atakaemshangaa arejee mechi za tangu 2018 mpaka Mane anaodoka ajabu pamoja na hup ubinafsi anaongeza kwa ma assit pale mbele... Just like Messi or Ronaldo ndio ivyo kwa Salah ni RW mfungaji nadhani hua tunasahau hilo sana...
As long jana tumeshinda no ishu ya ubinafsi aidha kwa Salah au Diaz...
Next game Jumatano vs Westham Carabao...
YNWA
Tumepiga bomu mochuari.😝😝😝🔥🔥🔥🔥Namba 9 wa ukweli.. Jana well nilivutiwa zaidi na Chiesa na Jones hakika kama ndio maelekezo ya Mwalimu basi huyu Slot ana jambo aisee.
YNWA
🤔🤣🤣🤣Nimetulia sana mie... Simpodi Salah kwa jana..... Sina ishu na Salah wala Diaz wala Nunez kukosa jana... Ishu yangu jana ipo kwa babe wako 66 huyu bhana atakuja kutuchomesha aisee anapoteza mipira au pass mno aafu sio mara moja bhana yaani so many blind passes against a well organised team we will suffer bhana...Hata huyo Mane
Mbona naye kuna mechi alikuwa anacheza unaona kabisa ubinafsi,kuna nafasi hampi Salah pass,anataka afunge yeye
Na anakosa.
Hao akina Diaz Jota ,Gakpp
Wote ukiwaangalia vizuri,ukaangalia mmojammoja mwanzo mwisho lazima uone Kuna mahali wanakuwa wabinafsi.
Pass alizotoa Salah Kwa akina Nunez
Nao Kwa ujinga wao wanapoteza,huzisikii wakasema humu .
Jamaa inafika Muda anachoka anaona ajaribu mwenyewe kufunga ...
Akipata wote tunajaa humu kusema Salah Mwamba..
Akikosa ndio hizo lawama
Mkae Kwa kutulia kabisa ...
Yeye siyo malaika apate magoli yote.
By the way kumfunga City hakukupi ubingwa kabisa... Ubingwa unaupata kwa kupunguza sare na kuwafunga hao wa kuanzia nafasi ya 3 nk nk... City tutoke hata sare lakin akina Newcastle, Brighton nk hao nikupiga tuu....Tumepiga bomu mochuari.
Kama Slot ni Mwamba kweli tunasubiri amfunge Aseno na City.