Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Nipo my darling....Bobby leo unacheka
Makubwa๐๐๐๐
Btw nilikumiss Bobby jamani
Hadi najihisi kuumwa .
Salah wetu
Aliyemnyoa nywele usiku amrufishie aisee
Sijui hata namuonaje!
Lakini umesema Rais anaanguka na ni kweliThat was 2010
Umekuwa msemaji wangu eeh?
Sijawahi kuwa shabiki wa huyo dogo[emoji23]
There is no substitute for TrentDalili zinaoneshaโ,.
Na Mimi ni Mwanafunzi wako pia, shusha matilio mkuu, Dada yako nita m mention hakuna shaka
Its a matter of when not whats if..... Hahaha...
YNWA
Naona mmekuwa wasemaji wangu ๐๐Its a matter of when not whats if..... Hahaha...
YNWA
2010 samia alikua wapiLakini umesema Rais anaanguka na ni kweli
Mmeona watoto wa dot-com wasivyo na heshima Kwa wakubwa zao??Karibu mkuu. Nipo darasani pia.
Huyo mtoto wa alfu mbili inakuwaje awe dada yangu mie mkongwe kabla ya alfu mbili??
Ynwaโ
CCM2010 samia alikua wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na uhame na Liverpool nikuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]am at peace roho safi kwa Gravenberch aka mkata umeme mwenye babyface anateleza tu na kijiji kama hayupo ujue....
YNWA
Mkuu2010 samia alikua wapi
Wewe ni kichaa ujue๐๐๐
There is no substitute for Trent
My love for Trent is unconditional
Mimi na Trent hii timu ni ya kwetu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNa uhame na Liverpool nikuone ๐คฃ๐คฃ๐คฃam at peace roho safi kwa Gravenberch aka mkata umeme mwenye babyface anateleza tu na kijiji kama hayupo ujue....
YNWA
Ila ka Gakpo kamekua Kahandsome jamani chaa๐๐๐ฅ๐ฅ