Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Manchester ni wapuuzi wa kutupwaView attachment 3114549
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 Haya maisha nyie achane tu yaani mtaani kimya hakuna tena kelele tazameni Spurs akivyotupa amani wiki hii.
YNWA
Reason inamfanya acheze mbele ya Macca ni technical kwa sababu anakua 1st line of defence to tackle, to block the channels, yuko fasta kuliko Macca its simple as that...Soon.
Aamue tu yeye mwenyewe, kama kuna % ya kufunga just try it, boy he is so energetic and technical player. How i wish tungepata quality DM apige na Gravern then Macca aicheze hiyo 10,.
Ynwa’
Yatakuja ni papara tu maana he is getting in the right areas next kwa Slot ni kumpa kibari cha kufunga sasa. Otherwise akichemka itabid arudi nyuma aafu Macca asogee mbele.. Uzuri boy is workaholic... Lots of kilometres, tackles.. [emoji1787][emoji1787]Ana tackle nyingi kuliko Trent wa dadako
YNWA
Self proclaimed Dada mtu🤣🤣Hapo kwenye dada yangu”
Hivi mtoto wa alfu mbili awe dada wa mtu aliyetokea kabla ya alfu mbili, usijae kwenye mfumo wa Saint Anne”
Ynwa
Reason inamfanya acheze mbele ya Macca ni technical kwa sababu anakua 1st line of defence to tackle, to block the channels, yuko fasta kuliko Macca its simple as that...
YNWA
Self proclaimed Dada mtu[emoji1787][emoji1787]
YNWA
Na bado acha wateseke wametuonea haswaaaa.....Manchester ni wapuuzi wa kutupwa
Mimi sijui mpira ila Manchester ule siyo uchezaji wa mpira..
Yaani sijui walikuwa wanacheza mpira gani💔
Mzee mwenzangu,Self proclaimed Dada mtu🤣🤣
YNWA
Yaani ile mechi dhidi ya spurs Yaani ilikuwa kitukoNa bado acha wateseke wametuonea haswaaaa.....
So they knocked us off the perch haha ila sasa mateso kwao ni hatareee
YNWA
Let’s pray for no Dutch curse
Kwahiyo umeona uungane na kaka mkubwa Bobby ili tukuone kwamba na wewe ni mkubwa😂Achana nae”,. Anajipaisha sana mtoto wa alfu mbili.
Ynwa’
Dunia ina mambo hii!Hapo kwenye dada yangu”
Hivi mtoto wa alfu mbili awe dada wa mtu aliyetokea kabla ya alfu mbili, usijae kwenye mfumo wa Saint Anne”
Ynwa
Macca nae ana ubora wake akicheza next to Gravenberch.... Kwanza ana long range cool passes lakini kubwa kuliko yote ni kusoma mchezo na kujua wapi asimame apokee pass ama kuzuia or to break play ya opponents tazama move zake uwanjani au heat map... Boy rarely analoa jasho aisee.Faster than Macca, yes but Macca as 10 while you have beast behind him, slow but sure
Ynwa’
Yaani ile mechi dhidi ya spurs Yaani ilikuwa kituko
Sijui walicheza vitu gani pale
Wamshukuru Mungu Sana Spurs siyo watulivu golini.
Wangemkuta mnyama kama Salah pale alikuwa anawachinja goli hata kumi pekeyake.
Hey legend....Let’s pray for no Dutch curse
Yaani ile mechi dhidi ya spurs Yaani ilikuwa kituko
Sijui walicheza vitu gani pale
Wamshukuru Mungu Sana Spurs siyo watulivu golini.
Wangemkuta mnyama kama Salah pale alikuwa anawachinja goli hata kumi pekeyake.
Napita tu mie🤣🤣🤣🤣Mzee mwenzangu,
Umeamua uungane na huyo dogo Mona?
Ni katoto kadogo hako😂 Bobby
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄Dokta atanuna ujue ohoooooo.Gakpo
Mdogo wake na VVD
Kazuri aisee
Hawa vijana wa Liverpool wazuri hawa watoto hadi wananichanganya
Man u hata wakiletwa wacheze NBC pl na Namungo au ihefu🤣🤣🤣🤣Manchester United ni kijiwe cha kupeana utajiri.... Yaani ile timu ina matatizo makubwa sanaaa aafu wenyewe wanataka quick fix... Haijawai kua rahisi hata siku moja we are living proof when things get rough ni rough haswaaa.
YNWA
Anisamehe Kwa muda aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄Dokta atanuna ujue ohoooooo.
Ma HB Aaafu na kazi wanapiga haswa
YNWA