Lovren 😂😂😂i remember how he ws toasted na Aguero na Rashford huku Klopp akituaminisha tuna beki bora wa kati duniani huku ma pundit wanaoheshimika wakimwambia Klopp hutashinda kombe hata la kahawa kwa beki huyu au kwa makipa Simon na Karius.
Duuh tumetoka mbali.
Matip niliona Hammers walimtupia jicho.
YNWA
Wadau hii kauli mbona kama Salah anamponda Klopp ??
View attachment 3115059
Wakubwa tunajuana
Ndiyo maana Bobby akakuambia mimi ni dada yako
Wadau hii kauli mbona kama Salah anamponda Klopp ??
View attachment 3115059
Kwa hiyo Mama chali😂Lakini umesema Rais anaanguka na ni kweli
Sijakuelewa kwamba Jota sio namba 9?
Mhm mbona kama anataka kuanza kunikuna?On 12.30pm kick-offs away from home...
In general, I think the league where I'm coming from in Holland, they are more aware and try to help the teams that play in Europe more than it happens over here. But to be fair to the English FA, our schedule here is so tight that it's so, so difficult. And I think it's something that has to do with the people that are sitting in front of me, so television stations – I have a feeling I do an interview every day. That's why we play at 12.30 because I think they can pick which team they want to have on at 12.30 and then it's nine out of 10 times Liverpool is included. I don't think it has so much to do with the 12.30 kick-off, for me it has to do [with] that every away game is difficult.
I showed them last week that 10 out of 19 away games last season didn't lead to a win. So you can then argue if it's 12.30 or is it just difficult to play an away game? And we can come up with Newcastle, Forest and there were two others where there were last-second winners. So, that shows you how difficult it is to play an away game, especially for us, in this league. Because we play so many times then at 12.30, people talk about 12.30. I think we have to talk about an away game and [how] that is difficult, because if 12.30 was a difficult time to perform then I'm a really stupid manager because we train every day at 12 o'clock. I don't see the idea behind it being that difficult performing at that time.
Haya kweli ni mahaba niueTrent ni Mwamba
Hako ka Jude kanabebwa tu na mfumo
Ni mlinzi wa mbeleReason inamfanya acheze mbele ya Macca ni technical kwa sababu anakua 1st line of defence to tackle, to block the channels, yuko fasta kuliko Macca its simple as that...
YNWA
Its scary at times you wonder if he is in dreamland kama bado yupo Feyenoord......I pray we wont implode soon.
Slot's new tactical approaches are a worry.
Yes hii mlinzi wa mbele dogo Bobby Firmino ndio ilimfanya Klopp aseme Bobby ndio "roho" ya timu....Ni mlinzi wa mbele
Waaaaaa minne tenaaaa.... Huyu mwamba anaweza kustafia pale pale... Anazeeka kama mvinyo wa Kirusi 🥂🥂🥂... Bila shaka atakua na mshahara na marupurupu yameboreshwa.....
Slot anatuchanganya wakati mwingine... Kuna mechi nadhani 2 dogo Jota amecheza 10 tukiwa tunashambulia...Sijakuelewa kwamba Jota sio namba 9?
At times hua nawaza Klopp aliichukulia powa sana EP mwanzoni.. Baada ya misimu miwili aliamka na kuelewa kwamba EPL sio farmers league...Klopp tried to turn water into wine, but alishindwa, Lovren was a very bad defender.
Kibaya zaidi, alikuwa anajikubali sana.
Hawa FSG wangempata Conte angewanyoosha jamani maa hua hana brake sio tim u ifungwo aafu atupiwe lawama huku kuna mchezaji uongozi ulifeli kumletea haha Conte ni the best kwenye situation zilizomkuta Klopp au Slot kwa hawa FSG yaaani wangemtimua ndani ya muda mfupi.Yeah Agree with you. Under Slot ni new ideas zimewafanya wachezaji waonekane wapya. Injury and fatigue will win him trophies, but mwenyewe Slot knows anahitaji proper DM, lakin hawezi kufanya attacks kwenye media itamletea shida, na mazingira ya kazi yatakuwa magumu kwake. But atleast so far anajitahidi kutumia alichonacho kabla hajapata akitakacho.
Again media zinajaribu kuchokonoa what is going on kwenye contract ya Vvd, Trent & Salah?? What are the plans ahead January TW?? Mitego miwili hii. Sasa hivi hamna makelele kwa sababu ya positive results anazopata, but in case mambo yangeenda kombo tungesikia otherwise by now.
Anyway, i myself i want to see good things regardless the process, as you know majority are not on your process watchers but output of your process.
Lets enjoy our currently good moments.
8/9 wins
Nominees (Slot, Gravern, Nunez, Diaz).
Ynwa’