Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
AminaMambo vip Kopps?
Kutoka pwani ya africa mashariki Naitakia LIVERPOOL ushindi mwema dhidi ya rent boys.
Nawapata vizuri hapo studio za Liverpool halisi Saint Anne Captain Marvelous Manyanza
zumbemkuu
Tupo pamoja sana na Mungu atubariki sote.
Hatukatai kwamba ni Bora
Nani kakwambia tunajiona under dogs bali wakati ndio tupo bora sana na confidence ya juu labda unaizungumzia Chelsea ya Graham PotterRekodi ya Chelsea ugenini ni nzuri sana msimu huu. Watakuja mazima. After all they have nothing to lose maana wanajiona under dogs...
YNWA
🤣🤣🤣🤣Mechi dhidi ya Chelsii haijawahi kuwa rahisi siku zote
Ni Moja kati ya timu ambazo mechi zake natazama huku presha ipo juu sana
Ila bahati huwa upande wetu
YNWA👌🏿
Sasa mbona Salah kashakuweka Moja hukoKuku kishingo leo tunawanyoa kwa kugae cha chupa .Mtajuta kukutana na miamba halisi wa London
TupoLiver mbona hampo humu? Au mnacheki mechi huku roho zinadunda?
Vp hukoTupo
2 kwa 1Vp huko
Ngoja tuone itakavokuwa mwisho wa mchezo2 kwa 1
Mkuu hii game umeangalia kwenye simu??naomba link. YNWA foreverColwill tripped Jones and Salah blasts it from the spot! Liverpool 1-0 ChelseaView attachment 3130984