Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapo kwa palmer nimekuelewa sana. Ukitazama mechi za chelsea vs briton na wolves kuhusu huyu palmer ulichokisema kina make sense.

Hiyo ndio njia ya kudeal na key unahakikisha kufuli au kitasa hakifikiwi, na kikifikiwa tia ugumu ufunguo usizungushwe kufungua.

Angekuwa ST. Basi one of CB angetembea nae na DMF mmoja (ikiwa kuna double pivot) angetumika ku cover position ya CB pale akitembea na ST.

Those days chini ya Klopp any dangerous ST especially wale natural no. 9 wakija Anfield, Klopp alitumia mbinu hii mara nyingi. Mf., Aguero, Vardy, Halaand na wengineo kazi alipewa Matip, unakuta hana any touch ndani ya box, hana shot on target. Hapa unahitaji mtu anayeendana nae physical, Speed, Skills, na mwenye uwezo wa ku focus throughout the min atakuwa uwanjani.

Ndicho kilifanyika jana Jones vs Palmer. It will be an interesting match at Emirates, Arsenal vs LFC, a game of aggressiveness vs calmness.
 

Huyu atupumzishe kwanza”,. Mambo ya mbio mbio muda wote yalituletea vipigo, makombe kupokonywa mkononi, injury crisis, fatigue. Sasa ni mambo na kubalance, hatufungwi mengi hatufungi mengi muhimu points tatu.

Huyu ni miongoni mwa wale, mmetufunga lakin chenga twawala.

Shikilia hapo hapo Slot, hatuna kikosi kikubwa hivyo,. Ndio kwanza 11 matches, bado loads of matches ahead
 

Hapa umemgusa penyewe”,. Haswaa Ingawa hiyo records hawezi tena kuivunja”,.
 
Huyu Nicol akalee wajukuu tupo era ya Slot haina mbio ni moss moss tu mpaka kieleweke...
Whats the fan kukimbia all over aafu sare ama kipigo....
Kwa sasa move zote zipo measured hakuna kukurupuka.

YNWA

Watu hawana shukrani…. Hawa hawa lingefunguliwa turbo wangeanza kutoa ya moyoni, na kusema kumbe ni kama Klopp tu, hakukua na haja ya kukimbizana muda wote..!!!

Sasa hivi kuna ka balance kazuri sana, japo bado Slot hajapata watu wa kumfanyia kazi yake sawa sawa hasa ile shilingi no. 6 ya asili,
 

I think Slot's understanding of Chelsea was that they score most of their goals from stretching their opponent's structure in transitions.

He was happy to let Chelsea have the ball out wide and even pinged into the feet of the CAMs but he didn't want to allow them to create situations where they could have runners getting in behind and stretching our defensive line.
 
Slot kaangalia sana clip za Liverpool last season na akaja na mbinu zake kwamba gegenpresin ya Klopp ina changamoto zake ukiwa huna ballers wakat unacheza vs ballers kama Chelsea hivyo mbinu ni kupiga counter attack na hakika tumefanikiwa...

YNWA
Gegen pressing au possession football zote zina changamoto.

Gegen pressing ilitupa heshima siyo tu England bali Ulaya nzima. Ni style inataka uwe na watu sahihi na uta enjoy football. Slot hawezi kuwa Klopp wala Klopp kuwa Slot. So asingekuja aanze kucheza gegen pressing wakati siyo style yake na hawezi kuifundisha.

Hakuiacha, bali hajawahi kuitumia maana huwezi kuacha style ambayo HUNA.
 

Ukiweka kwenye mizani possession football na geggen pressing, possession football, inakupa muendelezo mzuri over geggenpressing, hii geggen pressing, muendelezo wake unakua mgumu unlike possession, thats why hii geggen ina watu wachache sana, na mafanikio yake ni less over possession.

Weaknesses za Geggen na possession za geggen ni nyingi kuliko possession, kwa sababu ni huge weakness, ukishaumiziwa mchezaji wako na fatigue during the ongoing season tayari umepunguzwa makali.

Geggen inakupa
Majeruhi wengi
Na uchovu maana msingi ni nguvu na mbio”,. Tofauti na possession. Thats why tukimchukua Klopp kama muumini mkubwa wa geggenpressing changamoto yake kubwa ya injuries and fatigue, aliipata kuanzia Feb to late April/May, kwa kujirudia rudia, why Geggenpressing.

Ni system nzuri but weakness yake kubwa ni hiyo, na ndani ya uwanja unahitaji fresh legs after every 3-4 seasons of which unahitaji wamwaga hela kweli kweli, labda unaweza ku sustain for long, ila hii geggenpressing udhaifu wake mkubwa ni hapo kwenye injury na fatigue. During the match Possesion football ni rahisi ku unlock mid and low block system compare to geggen ambayo inakuhitaji mpinzani wake afunguke na yeye.

But if you have big boys wa kukupa mkwanja when you want hii Geggen pressing hakuna timu inatamani kukutana nayo, thats kwenye peak ya Klopp 2018-2022 ilikuwa ni hatari kukutana na wale jamaa.

I like both of them but with balance.
 
Shukrani sana Mkuu usichoke nachangamsha sana group fulani la whatsapp😃😃😃
 
Unachambua mpira au unatuadithia mpira ?

PUMBA TUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…