Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

whats the score buddy, sie tunaangalia kombe la mbuzi huku kameruni, nigeria, kodivaa na woooote wa weld kap wanatuzingua tu

35 mnts first half score 0-0

Lakini ndio naona tunakoswa koswa huku......Carra kataka kutuwa.....
 
Liverpool 1 Reading 0

Captain Gerrad kafanya mambo yake mpaka wamejifunga wenyewe.

Tores out for weeks wamemkwatuwa hawa katoka

Half time
 
Liverpool 1 Reading 0

Captain Gerrad kafanya mambo yake mpaka wamejifunga wenyewe.

Tores out for weeks wamemkwatuwa hawa katoka

Half time

Ahsante mzee kwa hizi updates andelea hivyo hivyo
 
sijakuelewa mkuu, gemu imeisha? na huyo torres umeuaje out for weeks wakati huwa nahitaji doctors aSSESSMENT NA REport?

daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamnn
 
Game ni half time...

Hawa macomantetor ndio wanasema mybe Torres out for weeks.....

Hawajapata bado confirmation.....
 
Maxi takes taxi to Anfield

Argentina winger in Liverpool for medical

Last updated: 13th January 2010



Rodriguez: Having medical






Argentina winger Maxi Rodriguez has arrived in Liverpool ahead of completing his proposed switch to Anfield.
The 29-year-old Atletico Madrid player is set to undergo a medical before signing an 18-month contract in a £1.5million switch.
He will then watch his new team-mates in action in Wednesday night's FA Cup third round replay against Reading at Anfield before returning to Spain to tie up the final details of his departure.
Rodriguez,
who is a close friend and international team-mate of Reds midfielder Javier Mascherano,
still has to agree his pay-off from Atletico.
Hoped

But it is hoped he could be back in England by the weekend to figure in Liverpool's trip to Stoke on Saturday.
Liverpool boss Rafa Benitez
had hoped the deal could have been completed last week, but the former Newell's Old Boys and Espanyol player was unable to finalise the details of his departure.
His impending arrival comes after Andrea Dossena
left the Reds for Napoli, while Andriy Voronin
moved to Dinamo Moscow.
These deals brought in funds totalling £6.5million, and Ryan Babel's
name could soon be added to the list of departures now Benitez has been assured that he can have the potential £10million fee to strengthen his squad during this transfer window.
Benitez had previously been told to wait until the summer before spending on new additions.
 
Tumeanza uzuri second half bila ya Gerrad na Torres......

Binayoun Babel and Ngog mbele........
 
Duh kwenye last minute wamepata penalty Reading

Score 1-1

Extra time now.....
 
Reading readingReading readingReading

Watoto wakorofi hawa?
 
Watani poleni sana.

Sasa Liverpool ina-trail 12 points katika PL, imetowelwa kwenye CL na sasa inatolewa katka hii FA cup.

"This is a giant killing" kwa Reading na ni "very disturbing" kwa Liverpool!
 
over and out!
Sasa wazee mmebakiza nini, europa league?!😉
 
Watani poleni sana.

Sasa Liverpool ina-trail 12 points katika PL, imetowelwa kwenye CL na sasa inatolewa katka hii FA cup.

"This is a giant killing" kwa Reading na ni "very disturbing" kwa Liverpool!

Reading were the best team over the two matches!
 



Max Rodriguez akitambulishwa rasmi Anfield kabla ya mechi anatoka A. Madrid
 


Sasa Liver msijali hakuna Thread ya Reading Hivi Bani atapona kweli?
 
transfer market bado iko open kwahio washabiki wa liverpool wanaweza kuhamia timu nyingine wanayopenda kabla transfer market ya january ijafungwa lol.mkuu MTM pole sana kwa vile wewe umekunywa maji ya bendera tutakusajili arsenal onloan umalizie ligi tu mpaka timu yako itakapo jipanga upya summer ha ha ha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…